Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Na saivi naskia wameka na sheria kabisa

Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana

So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
Ona sasa!, yote hayo ya nini. Dawa ni kutooa tu.
 
Kuoa ni sawa sawa na nchi kuongozwa na ccm ni hasara
 
They want everything.

They offer NOTHING.

Madogo kuishi na mwanamke ni muhimu ila ishi nae kinyumba tu bila ndoa utakuja kubariki Ndoa ukifika miaka 55 huko...

Wengi wao hawana Cha kutoa..

Oya kaka zenu tumeoa tunawaambia uhalisia hawana Cha kutoa..

Kamata mtoto wa mtu piga mimba ishu nae kinyumba hayo maigizo anayowekea kabla ya kusign makaratasi yataisha tu...


THEY HAVE NOTHING TO OFFER,NOTHING


Ni Stress tu na usipokuwa makini utajifunza umalaya,ukatili au ulevi.Hiyo tabia Yako ya upole unaweza jikuta umeenda kuwa Katili kwenye Ndoa na huyo ucheshi wako,uchangamfu unaweza jikuta umeenda kuwa mkimyaaaa..

Ndoa itakupoteza Asili yako usipokuwa makini..

Mimi sikuwahi kuwa mtu wa kukunja sura mda wote sio Asili yangu kabisa ila nimejikuta nimekuwa mtu serious kweli kweli hasa nikiingia ndani ya nyumba.

Unapogusa mlango wa nyumbani kwako ndo Stress,Hasira,chuki, Majuto nayo yanakuwa karibu na Ukiingia tu Makwazo yanaanza mi defense yangu ni kuwa serious tu au naenda chumba cha wageni najifanya kuna kazi nafanya huko kumbe nipo busy kufurahi na comedy contents imagine mimi na utu uzima wangu nimetoka 850k nimenunua PS4 ili tu nisiwaze ujinga wa nyumbani...

Madogo jipange kabla ya kuoa mtakuja kuwa watu wa Ajabu sana msipoangalia...

Watasema umekosea kuchagua No no no no,kama kuna watu walijipanga kuchagua basi mimi ILa bado nakwambia they have nothing to offer.Hawa watu ni fake sana..

Mi mke wangu akitokea leo hii mbele ya mwanaume yeyote yule 85% watasema mke ndo huyu ila niishie hapo tu...

Shauri yenu...
Umenigusa aisee, kama unaniongelea mimi, nakaribia kupiga chini
 
Kataa Utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Tokomeza Ndoa

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
I repeat again sipo kwenye ule upande wa kupinga ndo bali nipo kwenye ule upande wa kuamini ndoa ni baraka, ndoa ni kusaidiana, ndo ni Sakramenti takatifu, ndoa ni utu ila pamoja na kuipenda ndoa naona kama ndoa ndio hainitaki.

Umri umeenda, umri umekimbia sina mchumba, sina mpenzi naiona hatari mbele yangu naenda kuzeeka sasa ntaoa nani sijui shida ipo kwangu au kwao.

Sikufahamu kupata mke ndio kitu ngumu hivi nimezunguka pande zote za dira ila bado ni kipengele kumpata mchumba/mke.Nimechukua maamuzi ya kuchili tu kwa sasa labda ipo siku nami ntakua na familia yangu.

Naipenda Ndoa by mpenda ndoa
 
Jibu swali langu:
Utawezaje kuwa bab wa familia na ukafanya maamuzi magumu kama hata hujui umuoe nani?

Kiongozi naimani ntakua baba bora kwa mke na watoto wangu shida sio nimeshindwa kufanya machaguzi shida ni pale unapofanya machaguzi atleast matatu then unakuta yote yapo occupied.
 
Bila shaka huna pesa.........Tafuta pesa mdogo wangu.

Natakiwa niwe kama na Shs ngapi vile, sema nimekulia malezi ya tofauti wazazi wangu hawakuamini pesa ni upendo
 
Kiongozi naimani ntakua baba bora kwa mke na watoto wangu shida sio nimeshindwa kufanya machaguzi shida ni pale unapofanya machaguzi atleast matatu then unakuta yote yapo occupied.
Ndugu kwani wewe unatafuta kitu gani kwa mwanamke? Yaani mkeo unataka awe wa namna gani. Weka sifa hapa unaweza pata. .
 
Back
Top Bottom