Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Aha umeona nikufurukuta mpaka umesema umeoaNioe mara ngapi...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha umeona nikufurukuta mpaka umesema umeoaNioe mara ngapi...?
Tufanye yameisha.. maana daahAha umeona nikufurukuta mpaka umesema umeoa
Kivipi sasa kufumua marinda.. imekujaje hapa mambo hayo?!Aisee halafu mnamalizia kufumuliwa marinda au kufumua
Ona sasa!, yote hayo ya nini. Dawa ni kutooa tu.Na saivi naskia wameka na sheria kabisa
Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana
So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
ẞikuu hizi mwajidai kkataa ndoa kumbe wapewa mautamu na jinska zenu mpaka mwanamke humjui tenaKivipi sasa kufumua marinda.. imekujaje hapa mambo hayo?!
Ushahidi unaonyesha walio kwenye ndoa ndio wanajihusisha na mambo hayo.ẞikuu hizi mwajidai kkataa ndoa kumbe wapewa mautamu na jinska zenu mpaka mwanamke humjui tena
Astak....... .ẞikuu hizi mwajidai kkataa ndoa kumbe wapewa mautamu na jinska zenu mpaka mwanamke humjui tena
Umenigusa aisee, kama unaniongelea mimi, nakaribia kupiga chiniThey want everything.
They offer NOTHING.
Madogo kuishi na mwanamke ni muhimu ila ishi nae kinyumba tu bila ndoa utakuja kubariki Ndoa ukifika miaka 55 huko...
Wengi wao hawana Cha kutoa..
Oya kaka zenu tumeoa tunawaambia uhalisia hawana Cha kutoa..
Kamata mtoto wa mtu piga mimba ishu nae kinyumba hayo maigizo anayowekea kabla ya kusign makaratasi yataisha tu...
THEY HAVE NOTHING TO OFFER,NOTHING
Ni Stress tu na usipokuwa makini utajifunza umalaya,ukatili au ulevi.Hiyo tabia Yako ya upole unaweza jikuta umeenda kuwa Katili kwenye Ndoa na huyo ucheshi wako,uchangamfu unaweza jikuta umeenda kuwa mkimyaaaa..
Ndoa itakupoteza Asili yako usipokuwa makini..
Mimi sikuwahi kuwa mtu wa kukunja sura mda wote sio Asili yangu kabisa ila nimejikuta nimekuwa mtu serious kweli kweli hasa nikiingia ndani ya nyumba.
Unapogusa mlango wa nyumbani kwako ndo Stress,Hasira,chuki, Majuto nayo yanakuwa karibu na Ukiingia tu Makwazo yanaanza mi defense yangu ni kuwa serious tu au naenda chumba cha wageni najifanya kuna kazi nafanya huko kumbe nipo busy kufurahi na comedy contents imagine mimi na utu uzima wangu nimetoka 850k nimenunua PS4 ili tu nisiwaze ujinga wa nyumbani...
Madogo jipange kabla ya kuoa mtakuja kuwa watu wa Ajabu sana msipoangalia...
Watasema umekosea kuchagua No no no no,kama kuna watu walijipanga kuchagua basi mimi ILa bado nakwambia they have nothing to offer.Hawa watu ni fake sana..
Mi mke wangu akitokea leo hii mbele ya mwanaume yeyote yule 85% watasema mke ndo huyu ila niishie hapo tu...
Shauri yenu...
Soma vizuri ueleweUshahidi unaonyesha walio kwenye ndoa ndio wanajihusisha na mambo hayo.
ẞikuu hizi mwajidai kkataa ndoa kumbe wapewa mautamu na jinska zenu mpaka mwanamke humjui tena
Ushahidi unaonyesha walio kwenye ndoa ndio wanajihusisha na mambo hayo.
Nini ambacho nimeenda nje ya pointi hapo?Soma vizuri uelewe
Kusema walio ndani ya ndoa ndio mashoga kwani wao wanaofanywa au kufanyiwa ni wanandoa wote??Nini ambacho nimeenda nje ya pointi hapo?
Hapo sasa unaanza kuelewa, kuhusisha vijana wanaokataa ndoa na ushoga ni logical fallacy.Kusema walio ndani ya ndoa ndio mashoga kwani wao wanaofanywa au kufanyiwa ni wanandoa wote??
Jibu swali langu:
Utawezaje kuwa bab wa familia na ukafanya maamuzi magumu kama hata hujui umuoe nani?
Bila shaka huna pesa.........Tafuta pesa mdogo wangu.
Ndugu kwani wewe unatafuta kitu gani kwa mwanamke? Yaani mkeo unataka awe wa namna gani. Weka sifa hapa unaweza pata. .Kiongozi naimani ntakua baba bora kwa mke na watoto wangu shida sio nimeshindwa kufanya machaguzi shida ni pale unapofanya machaguzi atleast matatu then unakuta yote yapo occupied.