Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Unakuta mwanamke ana ma-ex 16, alafu hapo bado anawasiliano na ma-ex 12. Kwenye hilo kundi wapo vijana hata wanne ambao wakiomba mechi lazima wapewe tu, alafu mimi ndio nakuja kujiokotea huyu mtu namuoa nakua namuita 'mke wangu kipenzi'. Hapo mnaanza kula kwa zamu sasa na kina Juma, Mwamedi, Hans mwishoe mimba kumbe katoto sio kako mhusika ni Jafeti. Hiiii
Hakika mzee
KATAA NDOA
 
badala ya kuangalia tatizo nini mnaanza kuwafokea hawa vijana sio wajinga wala hawajakataa mahusiano na wanawake wanachokataa wenyewe ni ule mkataba au kiapo (ndoa) ambao kimsingi sheria na kanuni zake haziendani na maisha halisi katika jamii pia ndoa imeingiliwa na mambo za kiserikali
swali la kujiuliza kwanini vijana wa sasa hawaweki paumbele kwenye kuoa tofauti na wazee au vijana wa miaka iliyopita?
jibu ni kwamba ukiangalia wazee wa zamani walikuwa wakioa wanapata mali na ardhi kutoka kwa wazazi wake kama zawadi au urithi,heshima kutoka kwenye jamii na hata kwa mke wake,wengi walikuwa wanapata wake bikra kwa asilimia kubwa,haki ya umiliki wa watoto,full control ya familia yake ni ngumu sana kukuta maamuzi ya baba yanaingiliwa hata serikali hivi ndio vitu vilivyokuwa vina wahamasisha wanaume waoe kwa wakati huo
sasa njoo kwa wanaume wasasa ambao wanatarajia kuoa kwanza inabidi ajiandae gharama za mahari ambayo alipiwi na mzazi kama zamani,
gharama za sherehe ambayo sio kitu cha lazima lakini sasa kwa binti wengi wa sasa ni kama lazima vile,
kusaini na viapo kitu ambacho MUNGU mwenyewe amekataza viapo lakini ndio kinachofanyika kanuni kabisa ya ndoa sio kwenda kuapa na kusaini ilikuwa ni kubaliki na kuwatakia wanandoa maisha mema,
kwa asilimia kwenye shughuri za ndoa asilimia kubwa hamna mali wala zawadi ambayo anapata mtoto wa kiume pale zaidi ya kutoa pesa zake na labad vipongezi vichache ambavyo haviendani na gharama alizotumia,
umiliki watoto asilimia kubwa za sheria za sasa mtoto ni wamama wengi wababa huimizwa kuhudumia watoto lakini tukienda kwenye mahakama haki umiliki wa mtoto ume base sana kwa mama hii unaweza ukaona haipo lakini ukikuta na mwanamke king'anizi ndio unaweza elewa vizuri,control ya familia imebase sana kwenye external force maamuzi na kanuni nyingi za familia inategemea ana serikali,mahakama,dini na mtazamo wa jamiii tofauti na zamani maamuzi ya familia yalikuwa yanatoka kwa baba na hata wanaume wakipindi hicho walikuwa wana haki ya kuwaadhibu wake zao kwa talaka kwa urahisi zaidi tofauti na sasa ambako mpaka serikali,dini na mahakama mpaka vijilizishe bado utakuta lazima ugharamie hiyo talaka,
kuoa wanawake wasio bikra hii mnaweza kuona kama utani yani hipo hivi jinsi mwanamke anavyo feel proud kuolewa na mwanaume tajiri,maarufu na mwenye kipaji basi ndivyo mwanaume anavyofeel kupata na kuoa mke bikra mwanaume anayeoa mke wake akiwa bado mbichi huwa wengi wao hua na furaha sana,
 
Mkuu mashoga walikuepo tangu sodoma wewe leo hutaki kama nani!!! Me nasema waendelee kuwepo sana ilituwamung`unye
Mwizi nae akija kusema hata wizi ulikuepo tangu enzi na enzi acha tuendelee kuwaibia atakua kakosea?

Wizi kuendelea kuwepo haimaanishi wizi ni jambo halali au ni jambo la kutamani liendelee kuwepo.
 
Hapo sijaona hoja yako wewe mleta mada, swala ni kukataa ndoa na sio kukataa Kibwenye

Tofautisha ndoa na Kibwenye, ndoa ni utumwa yanini ujipe stress, hzo ajenda za upinde sema tu wewe mtoa mada ndo unaipush na ushindwe ulegee

KATAA NDOA NI UTUMWA
Unajua kwann mbususu kabla ya ndoa ni dhambi na baada ya ndoa sio dhambi?
 
Mwizi nae akija kusema hata wizi ulikuepo tangu enzi na enzi acha tuendelee kuwaibia atakua kakosea?

Wizi kuendelea kuwepo haimaanishi wizi ni jambo halali au ni jambo la kutamani liendelee kuwepo.
Sasa fanya hivi,zunguka tz nzima ukaprichi hili watakusikia ila humu unatupigia kelele
 
Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.

Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.

Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.

Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.

Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.

Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
 
Kataa ndoa.

Jali afya yako.
 
mpaka sasa sijui nisimame upande gani!!
ila naona umezungumzia tu kuhusu swala la ndoa na mali, ila kiukweli ndoa za siku hizi zinapitia mambo mengi mpaka zinavunjika,usaliti uliokithiri,baadhi ya wanandoa kutotimiza wajibu wao,vifo vya kila siku

 sishangai kuona kundi kubwa la vijana wanasapot hii kampeni kwa sababu matukio yamekuwa ni mengi mno kuhusu ndoa za kipindi hichi
 
Ndoa yako inatatizo la afya ya akili,hata uwasilishaji wako hapa inaonesha hukujipanga kuoa/kuolewa...
Mke/mume ulimpata kama ajali
 
Back
Top Bottom