Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
SurelyNdoa haziwezi kuisha hata ipingwe vipi...
ila mashoga wana playrole kubwa kwenye hii jamii....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SurelyNdoa haziwezi kuisha hata ipingwe vipi...
ila mashoga wana playrole kubwa kwenye hii jamii....
Jiongeze wewe. Kutokua sio kwamba hatutaki kuchakata mbususu. Bali tunataka kuwa free na kuchakata variety tofauti tofauti za mbususu tukiwa stress free.Ni kweli, Wengi wanaotumia hashtags za "#kataa ndoa" ni mapunga, wanataka wanawake wasiolewe ili wao wapate wa kuwafira
Hakika mzeeUnakuta mwanamke ana ma-ex 16, alafu hapo bado anawasiliano na ma-ex 12. Kwenye hilo kundi wapo vijana hata wanne ambao wakiomba mechi lazima wapewe tu, alafu mimi ndio nakuja kujiokotea huyu mtu namuoa nakua namuita 'mke wangu kipenzi'. Hapo mnaanza kula kwa zamu sasa na kina Juma, Mwamedi, Hans mwishoe mimba kumbe katoto sio kako mhusika ni Jafeti. Hiiii
Kuna mpumbavu mmoja atakuja kukataa hyo point hapo juu...Surely
Siyo mpumbavu Bali Ni pungaKuna mpumbavu mmoja atakuja kukataa hyo point hapo juu...
Mkuu mashoga walikuepo tangu sodoma wewe leo hutaki kama nani!!! Me nasema waendelee kuwepo sana ilituwamung`unyeWanaokataa ndoa ni mashoga wanataka kuficha udhaifu wao.
Wakatae tu sisi tupo tutawapiga pumbu.
Mwizi nae akija kusema hata wizi ulikuepo tangu enzi na enzi acha tuendelee kuwaibia atakua kakosea?Mkuu mashoga walikuepo tangu sodoma wewe leo hutaki kama nani!!! Me nasema waendelee kuwepo sana ilituwamung`unye
Unajua kwann mbususu kabla ya ndoa ni dhambi na baada ya ndoa sio dhambi?Hapo sijaona hoja yako wewe mleta mada, swala ni kukataa ndoa na sio kukataa Kibwenye
Tofautisha ndoa na Kibwenye, ndoa ni utumwa yanini ujipe stress, hzo ajenda za upinde sema tu wewe mtoa mada ndo unaipush na ushindwe ulegee
KATAA NDOA NI UTUMWA
Jamaniii 🤣🤣😅Kibwenye
Sasa fanya hivi,zunguka tz nzima ukaprichi hili watakusikia ila humu unatupigia keleleMwizi nae akija kusema hata wizi ulikuepo tangu enzi na enzi acha tuendelee kuwaibia atakua kakosea?
Wizi kuendelea kuwepo haimaanishi wizi ni jambo halali au ni jambo la kutamani liendelee kuwepo.
Kataa ndoa.Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.
Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.
Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.
Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.
Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.