Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Hujui husemacho ndoa sio Saini Yako na mwenza.

Nimekwambia hata ukiishi na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke.
Hiyo camera iliyotuchungulia kuona kama tuliishi kinyumba au laa chumbani sijui mtaipata wapi 😂😂
 
Nilitarajia nini sio swali ni utoto

Lakini Sheria hiyo hiyo itamkataa huko mbeleni..

Nimesoma comments nahisi nabishana na mtoto wa 24 years or less..

Sijaona point hata moja nilioona upo busy kutetea Ndoa ambayo pengine hapo ulipo hata kuishi na mwanamke bado sana
Mbona makasiriko.

Ulibugi na ukubali ,ukatae ww ni dhaifu.

Hakuna mwanaume timamu akasumbuliwa na mwanamke hata hio 50/50 Gentleman haimtikisi hata ingekuwa 20/80.

Ni nasaba za kike tu kuona Wanawake wanapendelewa.
 
Mimi binafsi ukiniuliza nitakujibu kwa sasa niko na amani na najisikia fresh kuliko nilivyokuwa kwenye ndoa

Kipindi nipo kwenye ndoa furaha ilikuwa ni asilimia 10, asilimia 90 ni maumivu

Ila sasa hivi furaha ni asilimia 98, maumivu ni asilimia 2 tu
 
Kadanganye wengine sio mm. Mimi kwa siku napokea issues zaidi ya 5 za ndoa hio hadithi za alfuholela holela haibambi.
Issues zaidi ya 5 kwa siku na unataka watu bado wafunge ndoa? 😂😂😂, adhibitishe kama tumefunga ndoa au kama tuliishi kama mume na mke kwa muda huo na si kwamba tuliishi kama kaka na dada..
 
Dr. ana watu wengi wanaomfikia wakiwa na kesi tofauti tofauti kwaio uzoefu anao. Pili ili uwe Doctor kamili lazima ufanye vitendo rasmi vya kurasimisha udoctor wako.

Itategemea na lengo. Mfano mtu anaekwenda marekani kusoma Kisha akafeli, na mtu alieisoma marekani kwa lengo la kupata kazi kwenye ubalozi wao na akafanikiwa. Yupi atakuwa amefikia lengo juu ya marekani kwa alivyokusudia.
Hauwezi kusema kwa sababu unaishi na watu wakigoma una uzoefu na kigoma , kigoma utapata uzoefu nayo zaid utakapoishi kigoma ,ndio maana dr anategemea maelezo ya mjongwa zaid ili aweze kulinganisha na alicho nacho kichwani , sijasema dr hajui kitu ila hana uzoefu yeye kama yeye kuhusu kansa ,dr alieumwa vidonda vya tumbo huwa ni dr mzur sna kuliko yule ambae hajaumwa kabasa ,kwa sababu ana nafasi yakukutanisha experience yake na kilichopo kichwani ,akujua ni namna gani nzuri ya kukabiliana na tatizo ,kwa hyo sijakupinga mkuu.
 
Acha udikiteta kwaiyo utaki uhuru wa mawazo unataka watu zaid ya 5 milion wawaeze na kufikilia km ww ebu acha udikiteta uchwala
 
Hatimae unashindana na mwanamke kudai haki ya kuhudumiwa. [emoji849]
Si umeona ni rahisi mimi kumpa mali zangu baada ya kuachana, sasa yeye ugumu wa kunipa mali zake ni upi? Unajua haya mambo ya haki sawa ni a 2 sided sword, sio mvutie upande mmoja tu..
 
Ndo nimekwambia kama uliishi na huyo mwanamke kwa miezi sita kiunyumba hapo atakuwa amedhurumiwa tu hakuna kipya. Otherwise useme mlikuwa hamuishi pamoja.
Nilikua naishi nae mkuu je kama aliniteka na kunitishia niishi nae , nikaogoapa nikatulia tu ? Wap nilisaini kukubali tuishi?
 
Harmonize anakwambia: "umezaliwa peke yako, utakufa peke yako, utazikwa peke yako, wee komaaa mwenyewe,, raha jipe mwenyewee" siyo maneno yangu ni mashairi ya Tembo hayo.
 
Nilikua naishi nae mkuu je kama aliniteka na kunitishia niishi nae , nikaogoapa nikatulia tu ? Wap nilisaini kukubali tuishi?
Nimemuuliza, kamera iliyotuchungulia chumbani kwa miezi 6 (siku 180) kuona kama tuliishi kama mume na mke na si kama kaka na dada wataipata wapi? Au hao majirani waliotuchungulia chumbani kwa siku 180 ili kuona kama tuliishi kama mume na mke (kinyumba) na si kama kaka na dada watawatoa wapi? Kashindwa kujibu 😂😂
 
Na nyuzi za kuwakashfu wanawake.
Kutwa kucha ni kuwatukana tu. Naona mods wanazifurahia
 
Nimemuuliza, kamera iliyotuchungulia chumbani kwa miezi 6 (siku 180) kuona kama tuliishi kama mume na mke na si kama kaka na dada wataipata wapi? Au hao majirani waliotuchungulia chumbani kwa siku 180 ili kuona kama tuliishi kama mume na mke (kinyumba) na si kama kaka na dada watawatoa wapi? Kashindwa kujibu [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Hyo sheria haina mashiko Sana ndio maana hauwezi kuwa raisi kama hauna ndoa , hata kama umeishi na mwanamke miezi mi tatu , lazima uwe na cheti
 
Nimemuuliza, kamera iliyotuchungulia chumbani kwa miezi 6 (siku 180) kuona kama tuliishi kama mume na mke na si kama kaka na dada wataipata wapi? Au hao majirani waliotuchungulia chumbani kwa siku 180 ili kuona kama tuliishi kama mume na mke (kinyumba) na si kama kaka na dada watawatoa wapi? Kashindwa kujibu [emoji23][emoji23]
Camera ya nn, yaani ww ulale na mwanamke nyumba moja na hamna udugu kati yenu miezi sita na bado unataka ushahidi wa kwamba mlifanya tendo. Labda ututhibitishie ww ushoga wako kwamba unaweza. Vinginevo sisi wanaume Sheria itabaki palepale .
 
Back
Top Bottom