Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ndio Ila chanzo cha yote ni Sheria mbovu zilizochomekwa mifumo ya kifeminist, ushaelewa ukiweka ufeminist mbele sana hata kwenye familia yako unaiua familia inakufa kabisa
Kabsa mkuu sheria mbovu ni za kupinga itafika kipndi watabidili tu wataleta ndoa za mkataba kwa mda fulani tu , labda mika miwili akiwa vizuri unaongeza kidgo hivyo hivyo.
 
Sio tu humu tz watu wamegoma ndoa, dunia nzima ndoa ni mwiba kwa wanaume na za kuepuka ,labda nchi za kiislamu na zenye mfumo dume tu kama Afghanistan [emoji1023] ndoa zinakuwa tamu mno.
Umekuja kwenye hoja Sasa, unachopinga sio ndoa bali unachopinga ni Sheria za Ndoa.

Nd maana nikakwambia ww sio team kataa Ndoa ni team kataa Sheria Mbovu za Ndoa. Vitu viwili tofauti.
 
Zamani walikuwa wanaona na kuanzisha familia yenye amani maana mwanamke alikuwa hana tamaa za mali na pia alijua kabisa kama akizingua anarudishwa kwao mikono mitupu. Ikafamfanya mwanamke awe na utii kwa mme wake.

Kufunga ndoa ni kumpa haki ya kumiliki mali na nadhani ndiyo sababu kubwa ya ndoa. Ndoa za sasa kipaumbele cha mwanamke siyo kutengeneza familia bali ni kuchuma mali. Ndiyo maana wana msemo wao wa tafuta pesa. Mwanamke akifunga ndoa anaona amemaliza kila kitu katika hii life, hana utii, ubabe, uvivu, umalaya yaaan anakuwa na tabia zote mbovu akijua kwamba ana kinga ya ndoa.

Ukiishi na mwanamke bila kufunga ndoa anakuwa na adabu na utii ila ukijiloga ukafungwa ndoa hapo imekula kwako.
Kasomeni tena hizo Sheria za Ndoa.
 
Kabsa mkuu sheria mbovu ni za kupinga itafika kipndi watabidili tu wataleta ndoa za mkataba kwa mda fulani tu , labda mika miwili akiwa vizuri unaongeza kidgo hivyo hivyo.
Itoshe kusema Ndoa ni upigaji wa kidizaini

Bro kafunga Ndoa baada ya mwezi kaja kulala home kwangu namuuliza kulikoni anasema kavuragana na mkewe atakaa kwangu kwa mda ili wasije wakauana na mwanamke anapigana sio kawaida yaan anarusha ngumi anang'ata meno anamkwangua na makucha jamaa kaja shati lipo ovyo kapaki pikipiki akawa anaishi kwangu ikaenda wiki haondoki namwambia wewe umeoa umejenga nyumba sasa unaikimbiaje nyumba yako uliyoijenga mwenyewe wewe una akili wewe?

KATAA NDOA
NDOA NI UPIGAJI
NDOA NI UTUMWA
 
Umekuja kwenye hoja Sasa, unachopinga sio ndoa bali unachopinga ni Sheria za Ndoa.

Nd maana nikakwambia ww sio team kataa Ndoa ni team kataa Sheria Mbovu za Ndoa. Vitu viwili tofauti.
Naweza kuwa hivyo kwa mtizamo wako ila kwa mtuzamo wangu nakataa ndoa kabsa.
 
Itoshe kusema Ndoa ni upigaji wa kidizaini

Bro kafunga Ndoa baada ya mwezi kaja kulala home kwangu namuuliza kulikoni anasema kavuragana na mkewe atakaa kwangu kwa mda ili wasije wakauana na mwanamke anapigana sio kawaida yaan anarusha ngumi anang'ata meno anamkwangua na makucha jamaa kaja shati lipo ovyo kapaki pikipiki akawa anaishi kwangu ikaenda wiki haondoki namwambia wewe umeoa umejenga nyumba sasa unaikimbiaje nyumba yako uliyoijenga mwenyewe wewe una akili wewe?

KATAA NDOA
NDOA NI UPIGAJI
NDOA NI UTUMWA
Amepata wa kufanana nae .
 
Angekua hajafunga ndoa anafukuza kirahisi tu mjinga huyo.
 
ndoa ni scammer kweli ila tatizo ni GENYEEE yani utakufaa na ukimwi unajionaaa labda kama sio rijaliii....!!! utajikuta unapoteza helaa na muda mwingii kuwa na mahusiano tofauti tofauti mwisho wa siku uje kutaka kuuwa watu sababu umetoa mahela wengine wanajiliaa bila uogaa.
 
Zamani walikuwa wanaona na kuanzisha familia yenye amani maana mwanamke alikuwa hana tamaa za mali na pia alijua kabisa kama akizingua anarudishwa kwao mikono mitupu. Ikafamfanya mwanamke awe na utii kwa mme wake.

Kufunga ndoa ni kumpa haki ya kumiliki mali na nadhani ndiyo sababu kubwa ya ndoa. Ndoa za sasa kipaumbele cha mwanamke siyo kutengeneza familia bali ni kuchuma mali. Ndiyo maana wana msemo wao wa tafuta pesa. Mwanamke akifunga ndoa anaona amemaliza kila kitu katika hii life, hana utii, ubabe, uvivu, umalaya yaaan anakuwa na tabia zote mbovu akijua kwamba ana kinga ya ndoa.

Ukiishi na mwanamke bila kufunga ndoa anakuwa na adabu na utii ila ukijiloga ukafungwa ndoa hapo imekula kwako.
Kama umekosa mwanamke ambaye hajafata mali kwako basi ni sawa kutokuoa.
 
Back
Top Bottom