Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Yaan unataka umwagiwe mwagiwe uji tu na kucheza na yale madubwasha kisha basi au sijakuelewa?Nothing... Am just busy with other things now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan unataka umwagiwe mwagiwe uji tu na kucheza na yale madubwasha kisha basi au sijakuelewa?Nothing... Am just busy with other things now
No... Sifanyi ayo yote nipo bize tuYaan unataka umwagiwe mwagiwe uji tu na kucheza na yale madubwasha kisha basi au sijakuelewa?
ipo siku yako na utampata umtakaye.No... Ila Mimi sio feminist wala m pinga ndoa
Kabsa mkuu sheria mbovu ni za kupinga itafika kipndi watabidili tu wataleta ndoa za mkataba kwa mda fulani tu , labda mika miwili akiwa vizuri unaongeza kidgo hivyo hivyo.Ndio Ila chanzo cha yote ni Sheria mbovu zilizochomekwa mifumo ya kifeminist, ushaelewa ukiweka ufeminist mbele sana hata kwenye familia yako unaiua familia inakufa kabisa
Hicho kipochi chako unataka kukifanyia nini kwani?Tatizo nyie mnakataa ndoa alafu ngono mnataka chagua moja tu yaishe
Wngi tu wana ndoa na ngono na ambao hawana ndoa wanataka pia .Tatizo nyie mnakataa ndoa alafu ngono mnataka chagua moja tu yaishe
Hahaha... Kwani kuna madhara si unachagua tu, wengine hatu mind sana upande huoHicho kipochi chako unataka kukifanyia nini kwani?
Umekuja kwenye hoja Sasa, unachopinga sio ndoa bali unachopinga ni Sheria za Ndoa.Sio tu humu tz watu wamegoma ndoa, dunia nzima ndoa ni mwiba kwa wanaume na za kuepuka ,labda nchi za kiislamu na zenye mfumo dume tu kama Afghanistan [emoji1023] ndoa zinakuwa tamu mno.
Kasomeni tena hizo Sheria za Ndoa.Zamani walikuwa wanaona na kuanzisha familia yenye amani maana mwanamke alikuwa hana tamaa za mali na pia alijua kabisa kama akizingua anarudishwa kwao mikono mitupu. Ikafamfanya mwanamke awe na utii kwa mme wake.
Kufunga ndoa ni kumpa haki ya kumiliki mali na nadhani ndiyo sababu kubwa ya ndoa. Ndoa za sasa kipaumbele cha mwanamke siyo kutengeneza familia bali ni kuchuma mali. Ndiyo maana wana msemo wao wa tafuta pesa. Mwanamke akifunga ndoa anaona amemaliza kila kitu katika hii life, hana utii, ubabe, uvivu, umalaya yaaan anakuwa na tabia zote mbovu akijua kwamba ana kinga ya ndoa.
Ukiishi na mwanamke bila kufunga ndoa anakuwa na adabu na utii ila ukijiloga ukafungwa ndoa hapo imekula kwako.
Itoshe kusema Ndoa ni upigaji wa kidizainiKabsa mkuu sheria mbovu ni za kupinga itafika kipndi watabidili tu wataleta ndoa za mkataba kwa mda fulani tu , labda mika miwili akiwa vizuri unaongeza kidgo hivyo hivyo.
Naweza kuwa hivyo kwa mtizamo wako ila kwa mtuzamo wangu nakataa ndoa kabsa.Umekuja kwenye hoja Sasa, unachopinga sio ndoa bali unachopinga ni Sheria za Ndoa.
Nd maana nikakwambia ww sio team kataa Ndoa ni team kataa Sheria Mbovu za Ndoa. Vitu viwili tofauti.
Amepata wa kufanana nae .Itoshe kusema Ndoa ni upigaji wa kidizaini
Bro kafunga Ndoa baada ya mwezi kaja kulala home kwangu namuuliza kulikoni anasema kavuragana na mkewe atakaa kwangu kwa mda ili wasije wakauana na mwanamke anapigana sio kawaida yaan anarusha ngumi anang'ata meno anamkwangua na makucha jamaa kaja shati lipo ovyo kapaki pikipiki akawa anaishi kwangu ikaenda wiki haondoki namwambia wewe umeoa umejenga nyumba sasa unaikimbiaje nyumba yako uliyoijenga mwenyewe wewe una akili wewe?
KATAA NDOA
NDOA NI UPIGAJI
NDOA NI UTUMWA
[emoji2781]Naweza kuwa hivyo kwa mtizamo wako ila kwa mtuzamo wangu nakataa ndoa kabsa.
Angekua hajafunga ndoa anafukuza kirahisi tu mjinga huyo.Itoshe kusema Ndoa ni upigaji wa kidizaini
Bro kafunga Ndoa baada ya mwezi kaja kulala home kwangu namuuliza kulikoni anasema kavuragana na mkewe atakaa kwangu kwa mda ili wasije wakauana na mwanamke anapigana sio kawaida yaan anarusha ngumi anang'ata meno anamkwangua na makucha jamaa kaja shati lipo ovyo kapaki pikipiki akawa anaishi kwangu ikaenda wiki haondoki namwambia wewe umeoa umejenga nyumba sasa unaikimbiaje nyumba yako uliyoijenga mwenyewe wewe una akili wewe?
KATAA NDOA
NDOA NI UPIGAJI
NDOA NI UTUMWA
Kufanana kupi? Mateso juu ya chuki kila leo afadhali ya JanaAmepata wa kufanana nae .
Si ndie aliemchagua ? ama alichaguliwa ?Kufanana kupi? Mateso juu ya chuki kila leo afadhali ya Jana
Kama umekosa mwanamke ambaye hajafata mali kwako basi ni sawa kutokuoa.Zamani walikuwa wanaona na kuanzisha familia yenye amani maana mwanamke alikuwa hana tamaa za mali na pia alijua kabisa kama akizingua anarudishwa kwao mikono mitupu. Ikafamfanya mwanamke awe na utii kwa mme wake.
Kufunga ndoa ni kumpa haki ya kumiliki mali na nadhani ndiyo sababu kubwa ya ndoa. Ndoa za sasa kipaumbele cha mwanamke siyo kutengeneza familia bali ni kuchuma mali. Ndiyo maana wana msemo wao wa tafuta pesa. Mwanamke akifunga ndoa anaona amemaliza kila kitu katika hii life, hana utii, ubabe, uvivu, umalaya yaaan anakuwa na tabia zote mbovu akijua kwamba ana kinga ya ndoa.
Ukiishi na mwanamke bila kufunga ndoa anakuwa na adabu na utii ila ukijiloga ukafungwa ndoa hapo imekula kwako.
Labda wawe wameishi siku mbili. Yaani awe Demu wa kupita .Angekua hajafunga ndoa anafukuza kirahisi tu mjinga huyo.