Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Aisee halafu mnamalizia kufumuliwa marinda au kufumuaTumegoma kuwaoa, ni kutafuta tu ma single mother na kuwagegeda kama anavyofanya mzabzab .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee halafu mnamalizia kufumuliwa marinda au kufumuaTumegoma kuwaoa, ni kutafuta tu ma single mother na kuwagegeda kama anavyofanya mzabzab .
Unafikiri wote waliooa waliona wanawake wao watakuja kuwa tofauti kwenye ndoa lakini wao wakaamua kuwaoa hivyo hivyo?Kwa Nini uforce K na zipo nyingi , tatizo mnaoa mnasumbua mmoja Ile nifamilia mnaijenga nayeye anasumbuka kuweka sawa tafuta kadada kanakoheshimu wewe na ndoa Yako katunze kakutunzee
Pitia comment utaelewa wengi waliopo kwenye ndoa wanajutia 🤓🤓🤓Hujapata tu wewe upo bado na wakubali pesa
Acha tuUnafikiri wote waliooa waliona wanawake wao watakuja kuwa tofauti kwenye ndoa lakini wao wakaamua kuwaoa hivyo hivyo?
Ndoa siku hizi ni bahati, ukipata mtu ambaye mna match kiukweli utaifurahia
Kwa maana hawajui kuishi Kwa akili wanaishi Kwa miguu tu YaoPitia comment utaelewa wengi waliopo kwenye ndoa wanajutia 🤓🤓🤓
Wanakushawishi mkuuUnafikiri wote waliooa waliona wanawake wao watakuja kuwa tofauti kwenye ndoa lakini wao wakaamua kuwaoa hivyo hivyo?
Ndoa siku hizi ni bahati, ukipata mtu ambaye mna match kiukweli utaifurahia
Kwa maana hawajui kuishi Kwa akili wanaishi Kwa miguu tu Yao
Kwa maana hawajui kuishi Kwa akili wanaishi Kwa miguu tu Yao
Kwa saizi ili uwe na ndoa yenye misingi inayokubalika ambayo utaifurahia itakubidi uwe na mfumo wa hire and fireWanakushawishi mkuu
Kwa maana hawajui kuishi Kwa akili wanaishi Kwa miguu tu Yao
Ndo upi huo mkuuKwa saizi ili uwe na ndoa yenye misingi inayokubalika ambayo utaifurahia itakubidi uwe na mfumo wa hire and fire
NdiooUnique Flower
Basi tuseme kusoma shida, haya picha hizo je..🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Tushamaliza mjadala sasa je....🤓Ndioo
"Oa na kuacha" mpaka pale utapompata mtu sahihiNdo upi huo mkuu
Sasa si hyo oa acha wengine hapana yaan hatuoi kabisa....🤓🤓🤓"Oa na kuacha" mpaka pale utapompata mtu sahihi
Utaoa tuTushamaliza mjadala sasa je....🤓
Nioe mara ngapi...?Utaoa tu