Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kwa Nini uforce K na zipo nyingi , tatizo mnaoa mnasumbua mmoja Ile nifamilia mnaijenga nayeye anasumbuka kuweka sawa tafuta kadada kanakoheshimu wewe na ndoa Yako katunze kakutunzee
Unafikiri wote waliooa waliona wanawake wao watakuja kuwa tofauti kwenye ndoa lakini wao wakaamua kuwaoa hivyo hivyo?

Ndoa siku hizi ni bahati, ukipata mtu ambaye mna match kiukweli utaifurahia
 
Acha tu
 
Wanakushawishi mkuu
 
Attachments

  • 1670489238019.jpg
    1670489238019.jpg
    40.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom