dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
NAKAZIA TENAKATAA NDOA
NDOA NI UTAJIRI KWA MWANAMKE
NDOA NI UMASKINI KWA MWANAUME
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI USHIRIKINA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA TENAKATAA NDOA
NDOA NI UTAJIRI KWA MWANAMKE
NDOA NI UMASKINI KWA MWANAUME
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI USHIRIKINA
Na wao wakae kimya wasije kutuambia humu kuwa ndoa ni uhuni.Kila asimamie kile anachokiamini
Tatizo hamuelezi/hamtoi sababu na ndiyo maana tunawaona Kama wapiga mayoe tu humu jamii forums[emoji41]Ndoa sio aseee Bora tukae tuishi bila ndoa tu. But kufunga ndoa haya mapaka Directly yanajitoa fahamu.
NDOA NI UZWAZWAHow???
Mkuu wewe ushawahi ishi kwenye ndoa???Tatizo hamuelezi/hamtoi sababu na ndiyo maana tunawaona Kama wapiga mayoe tu humu jamii forum[emoji41]
Kwa hiyo baba ako alivyomuoa mama ako alikosea.?NDOA NI UZWAZWA
NDOA NI BIASHARA HARAMU YA KUNUNUA KUIMBE
NDOA NI UTUMWA
KATAA UTUMWA
TOKOMEZA NDOA
Wewe ulisha wahi kuishi kwenye ndoaMkuu wewe ushawahi ishi kwenye ndoa???
kama baba angekua shoga, ni halali mie kua shoga ?Kwa hiyo baba ako alivyomuoa mama ako alikosea.?
Sawa lakini pia hatutaki makelele ya humu ya kataa ndoaKila mtu ashinde mechi zake
Bado hujanijibu swali langu rejea kwenye swali hapo juukama baba angekua shoga, ni halali mie kua shoga ?
KATAA UJAMBAZI
KATAA NDOA
nimejibu swali kwa swali 😬Bado hujanijibu swali langu rejea kwenye swali hapo juu
Kweli kabisa aisee maana hawataki kutoa sababu hawana hoja kwa Nini wanakataa ndoa/kuishi na wapenziWatu wa upinde watakuwa ndio wanaongoza hiyo kampeni
Mkuu, watu wengine wako kwenye matibabu Mirembe, wako idle tu wodini, wanafurumusha nyuzi na commentsSawa lakini pia hatutaki makelele ya humu ya kataa ndoa
Bado hujajibu swalinimejibu swali kwa swali [emoji51]
Msumarikama baba angekua shoga, ni halali mie kua shoga ?
KATAA UJAMBAZI
KATAA NDOA