NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Njoo na factors/ hoja kwa Nini unakataa ndoaNdoa ni gemu la nyoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo na factors/ hoja kwa Nini unakataa ndoaNdoa ni gemu la nyoka
NAKAZIAMsumari
NAKAZIA
Ni mambo ya ajabu sanaKweli kabisa aisee maana hawataki kutoa sababu hawana hoja kwa Nini wanakataa ndoa/kuishi na wapenzi
Una unga hoja kinafiki/ lakini Hilo siyo jibu na hajaeleza kwa nini hataki ndoaMsumari
CR7 ana watoto kijiji, HAJAOAHapo hapo najenga swali lingine kwa Nini unakataa ndoa/ kuishi na mpenzi / nahitaji hoja na siyo bolded words
Andika na wewe upbavu wako wa upinde mliolipwa kupush hashtag ya kataa ndoa.Umeandika upuuzi tu.
#KATAANDOA
NAKAZIANdoa ni wizi na jela ya utumwa.
Sheria zimeharibu maana ya ndoa.
Kataa ndoa hadi sheria zibadilishwe
Tumeshaandika sana kuhusu hilo, pitia nyuzi za KATAA NDOA utajua kwanini tunapinga ndoa.Njoo na factors/ hoja kwa Nini unakataa ndoa
Kumbe unamtazama cr7? Lakini kumbuka anaishi nae Kama mke wake haiti Malaya tinder/telegram na Badoo Kama unavyofanya wewe.CR7 ana watoto kijiji, HAJAOA
Domo ana watoto kadhaa HAJAOA
wako smart sana, wanajua NDOA NI WIZI, NDOA NI LAANA, NDOA NI KWA WAJINGA
NDOA NI KWA MAZWAZWA WANAOPIGWA
Fact kabisa mkuu, haya yanalipwa na jumuiya ya upinde kupush agendaMimi bado sijaoa lakin siwez kui support kampeni ya kataa ndoa, mtoto wa kiume hutaki kuoa unataka nini ? Kuolewa? Ndo ushoga unaanza hivyo kukimbia majukumu yanayo kukamilisha kuwa mwanaume kamili
KAMA MKE WAKEKama mke
Nani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.Mimi bado sijaoa lakin siwez kui support kampeni ya kataa ndoa, mtoto wa kiume hutaki kuoa unataka nini ? Kuolewa? Ndo ushoga unaanza hivyo kukimbia majukumu yanayo kukamilisha kuwa mwanaume kamili
SIKAZIIKataa kampeni uchwara ya kataa ndoa
NAKAZIANani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Utakazia tu ni suala la mudaSIKAZII
Wewe si unasema kuwa hufugi mwanamke ndani, mwenzio anafuga Sasa anaishi nae wewe usiyetaka kuishi nae kuishi na mwanamke una agenda ganiKAMA MKE WAKE
ILA SIYO MKE, kisheria hatambuliki
anatambulika kama hawara, jua hilo
CR7 anajua ujinga uliopo ndoani, ni UTAPELI mtupu
Akili kisoda kam wewe ndo huwa mnaishia kujinyonga huko kwenye ndoa zenu!Andika na wewe upbavu wako wa upinde mliolipwa kupush hashtag ya kataa ndoa.