Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Mimi bado sijaoa lakin siwez kui support kampeni ya kataa ndoa, mtoto wa kiume hutaki kuoa unataka nini ? Kuolewa? Ndo ushoga unaanza hivyo kukimbia majukumu yanayo kukamilisha kuwa mwanaume kamili
 
CR7 ana watoto kijiji, HAJAOA
Domo ana watoto kadhaa HAJAOA
wako smart sana, wanajua NDOA NI WIZI, NDOA NI LAANA, NDOA NI KWA WAJINGA
NDOA NI KWA MAZWAZWA WANAOPIGWA
Kumbe unamtazama cr7? Lakini kumbuka anaishi nae Kama mke wake haiti Malaya tinder/telegram na Badoo Kama unavyofanya wewe.
 
Mimi bado sijaoa lakin siwez kui support kampeni ya kataa ndoa, mtoto wa kiume hutaki kuoa unataka nini ? Kuolewa? Ndo ushoga unaanza hivyo kukimbia majukumu yanayo kukamilisha kuwa mwanaume kamili
Fact kabisa mkuu, haya yanalipwa na jumuiya ya upinde kupush agenda
 
Mimi bado sijaoa lakin siwez kui support kampeni ya kataa ndoa, mtoto wa kiume hutaki kuoa unataka nini ? Kuolewa? Ndo ushoga unaanza hivyo kukimbia majukumu yanayo kukamilisha kuwa mwanaume kamili
Nani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
KAMA MKE WAKE
ILA SIYO MKE, kisheria hatambuliki
anatambulika kama hawara, jua hilo

CR7 anajua ujinga uliopo ndoani, ni UTAPELI mtupu
Wewe si unasema kuwa hufugi mwanamke ndani, mwenzio anafuga Sasa anaishi nae wewe usiyetaka kuishi nae kuishi na mwanamke una agenda gani
 
Andika na wewe upbavu wako wa upinde mliolipwa kupush hashtag ya kataa ndoa.
Akili kisoda kam wewe ndo huwa mnaishia kujinyonga huko kwenye ndoa zenu!
Zama hizi za 50/50 hakuna kitu ya kuitwa ndoa tena ila kuna jela za mahusiano (ndoa)
Uhuru ulionao una maana sana, #KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom