Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Jamaa mwanaharakati tu wa mtaa akajichanganya akaoa mtumishi akitegemea life litakuwa poa

Wakapata watoto kadhaa,walipoanza kwenda shule,hyo tumishi ikampanga jamaa wawapeleke watoto shule bora za kiwango,jamaa akakubali,baada ya muda ikamtelekezea ulipaji wa ada,jamaa kapambana mpaka watoto wakamaliza primary

Ile kwenda seko ikabidi jamaa awapeleke shule za kata ili apumue kidogo,hyo tumishi haitaki inataka watoto waendelee kusoma shule za gharama wakati huo jamaa hayuko poa kiuchumi

Mgogoro umekuwa mkubwa mpaka jamaa hana hamu na hyo tumishi pesa yake haijulikani inakokwenda
NDOA NI MPANGO WA KUMFILISI MWANAMUME
 
Kiongozi unahangaika biashana na KK kula bure kulala bure, mwanaume liyelelewa kwenye mazingira yakuju wajibu wake hawezi sema kataa ndoa hawa kataa ndoa ni wale Mario omba omba upinde wa mvua, ambao wamezoea kukaa jikoni na dada wa kazi so hata wanawake wanaowapata wanataka shinda nao mda wote at the end wanapishana cause mwanamke anaitaji matunzo na umdharau Kwisha sio matunzo umchunge
 
NA KUMNUFAISHA MWANAMKE

KIJANA AMKA SASA, TOKOMEZA NDOA
JamiiForums1709643988.jpg
 
Ili kuvunja nguvu yao hawa wakataa ndoa, itabidi tuweke Kipengele maalumu kwenye Katiba Mpya Serikali iwalipie Mahari Vijana wake wa Kiume wote pindi wanapotaka kuoa.

Hii itawavutia wengi kuoa, lakini pia Serikali iwalipe posho Maalumu kiasi cha shilingi 150,000 Vijana wote wa Kiume walio oa ili kuwavutia Vijana wenzao wa Kiume Kuingia kwenye Ndoa [emoji2957]
Hata walipwe 10M siwezi kuoa, Uhuru wangu una thamani kubwa.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
. Nje ya mada vp sasa kama hakuna ndoa inamana hakuna kuzaana itawezekana vp tusizaane? Kitu ambocho hakiwezekani lazima tuzaane. Tunazaana vp kama sio kwa zinaa?
Yesu alioa ?

Bible imesema , na muende mkazaane

haikusema, muende mkanunuane kisha mfugane ndani

NDOA NI UPUMBAVU
 
Back
Top Bottom