Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Vijana wanakwepa mahukumu mashoga ndio wanaosambaza hii kampeni ili wasikose watu wa kuwapiga mshedede
Huwez kusema hivyo wakati visa vya mashoga wengi apa tz wapo kwenye ndoa mkuu ,fikiri kabla ya kunena.
 
Bado wapinga ndoa sijaona sababu ya kujitoshelezwa. Natamani nipate mtu anipe sababu ya kueleweka
Ukipata pesa nyingi sana utaona sababu gani watu wanapinga ndoa , ww tafuta pesa tu.
 
Wanaosema kata Neno Wana hoja zao nyingi na ukizitafakari utaelewa. Ngoja panyeshe tujue panapovuja
 
Dhambi ya uzinzi tunaipa nguvu bila kujijua
Umeona eee!!!!
Mwanaume unapataje mtoto bila ndoa!!! Hapo kama unaakili timamu basi jua tu umepanda mbegu shambani kwa mwenio, huna mavuno.
Sawa familia ni Baba, Mama na Mtoto, ila kama huna ndo basi wewe endelea tu kuwa ni mtoto/mjumbe katika familia ya baba yako.
Huna uhalali wa kuwa na mtoto nje ya ndia.
Dhambi ya zinaa inakutafuna kijana.
 
Mwanamke akishakuwa na kipato ni hatari sana....Tena kinachozidi chako ujue umekwisha..
binafsi siwez kuoa mwanamke mtumish et tusaidizane maisha hapana au hata kuwa na mahusiano nae.
Kiukwel hata mahusiano nae tu haifai maana utajikuta ameshakuingiza kwenye matumiz makubwa
 
Back
Top Bottom