Kwenye ku-adapt mazingira mimi nalaumu dini hapo ndio tulipotea. Mlokole kushika pombe ni dhambi. Mwisilamu wa Africa anaona dhambi kuuza pombe lakini wanaomiliki casino huko kwa wenzetu ni masheikJuu katikati ya masikio kunae tatizo.
Karne zaidi ya nne za kutawaliwa kikoloni kumetuathiri tukaevolve kuwa tulivyo leo .
Tumeadapt kulingana na mazingira kingese Sana badala ya kuwa more superior tumekuwa more Inferior.
Tunaishia zama za mawe za Kati ... Tunaishia KWA trial and error badala ya kutumia science kupata matokeo .
Nafikiri ukiwa masikini na akili inalala kwa sababu hauko exposed kwa mambo mengi ya kujifunza kama huwezi hata kusafiri.ndivyo tumeumbwa ni ngumu kulibadili hilo. labda mazingira yanakuza tatizo pia.
kumbe na ugali wameleta wao. Mi nilijia ni maindi tu.Fanya Research kidogo angalia Nchi za Watu wanaokula Ugali for Breakfast,Lunch n Dinner angalia na Umasikini na IQ zao.
After all huu Ugali tumeletewa na Wareno i mean Wamisionari wa Kireno.
Kwenye ku-adapt mazingira mimi nalaumu dini hapo ndio tulipotea. Mlokole kushika pombe ni dhambi. Mwisilamu wa Africa anaona dhambi kuuza pombe lakini wanaomiliki casino huko kwa wenzetu ni masheik
Mahindi yametolewa South Amerika na Mabaharia wa Kireno.kumbe na ugali wameleta wao. Mi nilijia ni maindi tu.
Hujakosea. Mfano mdogo tu mama kacheza Royal Tour na akabandika mapicha yake. Sasa kwa kifupi nani anamjua States? Yaani kwa vyovyote vile Willy Smith alivyopost yuko Serengeti itakuwa imeonwa sana na audience aliyoi target mama kuliko yeye. Washauri wake wengi machawa hawamshauri ukweli.tatizo itakuwa CCM....hahahaha
Shida ni kwamba Shivji kasema juzi wasomi hawakosoi kwa sababu wanategemea teuzi. Mama kufanya Royal tour haina impact sana bora angemlipa hata Salah apost kwenye page yake.Tunayo shida kichwani , Na hili linaanzia ngazi za juu ...
Kama baba ni Mwehu na watoto lazima wawe wehu .
Papai halizai chungwa.
Good research never known before. South Mexico 9000 years ago.Mahindi yametolewa South Amerika na Mabaharia wa Kireno.
RAIA WA NCHI HIZI Wanasomea wizi zaidi kuliko uadilifu na Uzalendo..Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.
Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?
Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.
Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?
Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.
Swadakta.Uwezo wetu wa kiakili ktk kutatua changamoto zinazotukabili ni mdogo sana.
huo ndio ukweli mchungu.
pamoja na uvivufitna,roho mbaya,ubinafsi,rushwa,wivu wa kindezi,tamaa.ukiritimba n.k!
LinganishaMtu Mweusi ?!!!
Unamjua Mansa Kankan Mussa ??
Ukishamjua huyo na kumfuatilia rudi tena tuendelee na mjadala....
Umasikini mwingi ni Man Made na unatokana na Marginalization na unyonyaji fulani na ukiunganisha na mentality ya watu / mtu...,
Huwezi kuniambia mmasai ni masikini wakati ana chakula chake, natural AC na anayamudu mazingira alafu eti jamaa anayeishi huko New York kwenye one bedroom flat na maisha yake yote yupo kwenye cubicle 24/7 anatafuta senti ya kuweka kumuweka kwenye one bedroom flat yake ambayo hakai sana sababu muda mwingi anatumia kwenye traffic..., eti huyu ni tajiri in comparison na huyu mwingine....
It's just your perception....
Perception Perception....., Narudia tena kulinganisha Muafrika kijijini kwake na huyo Mmarekani...Linganisha
Huduma za afya
Maji
Miundombinu
Elimu
Kati ya Tanzania na marekani , Acha kulinganisha vitu vidogo
Ukiangalia hata hilo Taifa la Marekani la sasa ni taifa la wanyanganyi waliokwenda huko na kuwanyanganya
Hata akipewa fursa ya kuleta mabadiriko?Nyeusi ni nyeusi tu, kote itakua nyeusi haiwezi badilika.
Mkuu nime experience kwanza hatupendani halafu tunajifanya tunajua kila kitu na tunamjua kila mtu. Unaweza kuta mtu anakufanyia ubaya tu hata hamjuani ili tu why you?Huo weusi maana yake ni laana. Ndiyo maana weusi na umaskini ni Pete na kidole
Kutopendana kunatufanya tushindwe hata kuunganisha visenti vyetu tukaanzisha biashara ya pamoja (partnership).Mkuu nime experience kwanza hatupendani halafu tunajifanya tunajua kila kitu na tunamjua kila mtu. Unaweza kuta mtu anakufanyia ubaya tu hata hamjuani ili tu why you?