MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

Ngozi nyeusi tuna tatizo kubwa la msingi la namna tunavyotumia akili zetu kufikiri na hiki ndo kinachotutofautisha na ngozi nyeupe, mengine ni blah! blah.......kwa hiyo utagundua hata udumavu wa mwili na akili upo kwa kiwango cha juu sana miongoni mwa watu weusi.
 
Safi sana. Katika hiyo research wamesema waliangalia nini mojawapo ni vulnerability yaani mambo yakibadirika kidogo hali inakuwa tete. Kingine waliangalia ubora wa elimu generally wako better kuliko TZ. Sijaona ubora wa huduma ya afya, maji safi umeyazngumzia nafikiri ndio maana Magu alikuwa inspired na hizo nchi mbili umezi mention.
 
Hayo yanawezekana tu kupitia Katiba nzuri, a.k.a Katiba Mpya!
Lkn watawala hawataki hilo 🙄
 
Challenge kweli kweli. Umezungumzia viwanda - inawezekana kuna njia nyingine za kutengeneza pesa zaidi ya kuwa na kiwanda. Naona Tender mtu anashinda ya millioni kadhaa halafu yeye anaiuza kwa fraction ya hiyo hela kwa mtu ambaye wala haku tender. easy money. Mfano madudu aliyoyakuta mwanza kwenye ujenzi wa meri Hapa kazi tu. Mkorea kashinda tenda then kaiuza na huyo mtu anaendelea kubakia nchini akifanya kazi hizohizo.
 
Inawezekana ugali ukawa ni tatizo maana angalia ile kanda ya wapenda ugali IQ zao mtihani tu.
😂
Inategemea ni ugali wa kitu gani.. kama sembe ni shida.
Lkn kama ni mixer ya muhogo, mtama, ulezi, uwele, nk.. iQ inakuwa juu zaidi ya wastani
 
Ukitaka kuwa na maisha mafupi fanya partnership
 
Aisee hata mimi sikuwahi hata kutafiti daah Jamii forum ni kisiwa cha maarifa - Asante mdau
sio maindi nakumbuka hata mihogo(cassava) wao ndio wameleta.
mkuu inaonekana kwenye pindi la Vasco da gama class ulikua bize na totoz
 
mkuu inoanekana kwenye pindi la Vasco da gama class ulikua bize na totoz
Not real totozi ni ile kuchukulia vitu for granted. Kama kuona jani linaanguka wala huwezi kubodha unajua ndio ilivyo lkn kuna mwingine anawaza why? kwa nini halianguki likaenda juu?
 
Issue kubwa kwa mtu mweusi inayo fanya awe nyuma kimaendeleo kulinganisha na watu weupe ni ubnafsi .Aliye bahatika kupata nafasi nzuri ya kutumikia sehemu flani ata hakikisha iwe kwa udi au uvumba anaweka watu wake hata kama hawana uwezo. Kingine mtu anaenda shule kusoma lakini lengo sio kupata maarifa ili aya tumie lakini lengo ni kupata cheti ili awe promoted akae kwenye AC africa msomi ni yule anaye jua kukariri na anaye jua kujieleza lakini lakini kiutendaji hamna kitu.Ili tutoke hapa tuweke watu wenye uwezo husika bia kujalisha ni mtoto wa nani wa mjini au kijijini kutumika sehemu husika alafu hoja ya Gwajima ya kuwa na long term plan ni ya kuizangatia sana nchini kama watu au sehemu ni productive kwa kitu flani ndio tuwekeze nguvu kubwa huko kwa miundo mbinu wezeshi ili kuleta matokeo makubwa:
 
Soma kitabu cha why i am no longer talking to white people about race cha Reni Eddo-Lodge...
Haya mambo ya race ni complicated kuliko unavyodhani.
 
Real good contribution kila kitu ni jinsi unavyokiona. Ila mmasai anaweza kula green matibabu? sehemu anayolala?, maji anayokunywa ni salama?
 

Mkuu sheria zetu ni mbaya sana na hakuna wa kuadhibiwa
Waziri anamfukuza mkurugenzi kwa wizi wa 1. B Halafu imeisha hiyo hausikii tena kama kafungwa au hela zimerudi

Hii michezo inachezwa sana na Sisi tunafanywa wajinga sana kwa kukubali kuwa wajinga

Kila kukicha wenye magazeti hao wanafiki wasiojua taaluma zao
Wao wanaitwa kwenye tukio wakishapiga picha na kumrekodi waziri akimtumbua mtu utasikia

Takukuru wako wapi ? Mchukueni huyu
Huyo mkurugenzi kapiga hela ndefu anapandishwa gari na waandishi uchwara wamepewa hela yao ndio imetoka hiyo

Hawafuatilii tena wala kujua huyo mwizi alipelekwa wapi na je hela zilipatikana na je alifungwa?
Au waligawana mbele kwa mbele?
Mkuu kuna mambo yanafanyika nyuma ya pazia Sisi tunajua tu kuwa hela zinapigwa ila zinaenda wapi hatujui bali kuna wengine wanasema nchi nyingi huwa zinadumdulizwa kwa ajili ya elections [emoji848][emoji848]
 
Matatizo ya africa yana mizizi mirefu..
Ubinafsi watu walioelimika kama wanavyojiita na ambao hawajaelimika ni wapi wabinafsi!?
Kabla ya hii elimu na baada ya kupata elimu nan yuko subjected na ubinafsi!?
Toka uko mdogo unaulizwa unataka usome uje kuwa nani!!? na si unataka usome uje
uifanyie nini jamii yako...
 
Soma kitabu cha why i am no longer talking to white people about race cha Reni Eddo-Lodge...
Haya mambo ya race ni complicated kuliko unavyodhani.

Asante Mkuu ila Niko nao miaka 33 sasa na ninawajua vizuri sana

Nitajitahidi kukisoma pia
 
Tunahitaji sana 'Taasisi huru' zinazoweza kutenda kazi bila kuingiliwa..
Shida ni kuwa zitapatikana kwa muujiza gani?
 
Tunahitaji sana 'Taasisi huru' zinazoweza kutenda kazi bila kuingiliwa..
Shida ni kuwa zitapatikana kwa muujiza gani?
Hizi mambo theoretically ni rahisi kuzitaja na kudhani zitafanya kazi kama ulivyotegemea.
Kwenye practical unakutana na matatizi mengine zaidi...
Ni ngumu sana kuwa na taasisi huru kwenye jamii ya watu ambao bado elimu yao ni duni,
kama profesa anaitwa nonsense na bado anasujudu kwa form four failure na open uni
nadhani elimu ianzie ngazi ya familia ya kujitambua, na sio kudhani shule ndio itakufanya uelimike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…