Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mbona unahama mada!?
Tunajadili ukuaji wa miji ama tunajadili makabila!???
Kama unazungumzia makabila wahaya,wasukuma,wachagga,waarusha wapo wengi matajiri hapa Dar es salaam.
Wengi wao wamewekeza katika mashule,vyuo vya kati,viwanda vya dawa,vituo vya afya n.k n.k.
Kuwa specific hatuzungumzii makabila hapa tunazungumzia ukuaji wa miji.
 
Dsm yenye watu milioni 7 na mwanza yenye watu milioni 3.6,gepu la nyumba ni kidogo sana na nyumba zinazoendelea kujengwa mwanza ni nyingi kuliko Dsm, na Dsm kuna projects kibao za ujenzi wa nyumba za mashirika ya serikali mara Samia scheeme, lakini mwanza ni juhudi za raia, hii inaonesha dhahiir Dsm kuna umasikini wa kutupwa Vipi mwanza ikipewa mkono wa serikali hata kwa asilimia 30 tu, si itanyea kambi πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Jiulize kwanini serikali inawekeza Dar??
Hizo nyumba zote zinazowekezwa hazikosi wateja.
Jiulize zingejengwa Mwanza zingekua na wateja kama Dar??
Yani unaita watu masikini ilhali hizo nyumba wanauziwa tena kwa bei kubwa tu.
Kwani hizo nyumba Mama Samia anazigawa bure!?
 
Wakazi wengi wa Dsm wanaishi masakuroni, idadi ya nyumba za makazi tumewachapa fimbo

Wakazi wengi wa Dsm wanaishi masakuroni hawana nyumba za kuishi
Kama hawana nyumba za kuishi kwanini mashirika ya nyumba yanawekeza sana kuliko Mwanza??
Halafu idadi ya magorofa naona umeficha.
 
Kaka hawa ni wale waliokimbia kwao namtumbo mji wao wa Kwanza kutua ukawa Dar usikute mwanza anaipita tu barabarani anaona kaimaliza Mwanza,, fikiria Dar asilimia kubwa ni tambarare Mwanza ni milima lakini panda milimani huko uone raia walivyopotimosha madude ukizingatia ujenzi wa milimani ni gharama upasue kwanza miamba utafute level bado upandishe materials juu lakini bado milimani kuna mahekalu ya maana
 

Hivi unajua igogo ipo tangu mwaka gani?
 
Wewe upo serious kweli? Kwamba makabe na kijichi kwa wakishua 🀭🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…