Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Aaah wee thubutu embu jishikilie mkuu.
Lete mtaa mmoja wa Mwanza nikupigie mfano wa mtaa mmoja ulojengwa na wapemba tu wauza pweza hapo Kigamboni.
Ilemela ina Stend ya Nyamhongolo,Ina CCM kirumba,Ina Mwanza Airport na Hospital ya Mkoa SekouToure! Rock city mall nk
Kwa akili zako utakuja kusema Kigamboni imejengeka kuliko Nyamagana!
Ukiwa Dar unajua Mikoani watu hawajengi wako wamekaa tu!
Punguza vumbi la kukaa Dar zungukq ujionee!
 
Mwanza ina watu Milion 3.6 wewe unafikiria Mwanza ni kijiji cha Chanika!
 
Tofauti kubwa ya Dsm na Mwanza ni miundombinu ya barabara tu, na zile scrapera za Dsm zile tatu, Mwanza nayo ingekua inapendelewa kujengewa miundombinu ya barabara kama Dsm, Basi Dsm ingekula vumbi tu, Mitaani Mwanza ina battle vizuri tu maana asilimia kubwa ya Dsm ni uswazi tu
 
Hawawezi kukuelewa ila nijuavyo mimi Dar kwa ujenzi wa huku mtaani aa watu binafsi haiwezi kuizidi Mwanza!
 
True,dar inapabwa sana na serikali lakin ...
 
Huijui dar ndugu yangu,mbweni ununio,mbezi beach,kunduchi,masaki salasala,oysterbay,mikocheni msasani kwa pamoja ni zaidi ya mwanza yote
 
Mkuu nikikuita we punguani nimekukosea!??
Post nilokujibu ulisema kuwa Dar inapendelewa na serikali.
Ila ukiondoa mashirika ya serikali Dar kimakazi inaweza kushindanishwa na Mwanza.
Je stendi sio serikali?
Airport sio ya serikali?
Au kuna airport za watu binafsi siku hizi??
 
Rock city hiyo
 
Mimi nimekwambia nioneshe Kigamboni yako tuione hapa na majengo yake ambayo inaizidi Ilemela!
 
Viwanda vingi vipo pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…