Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Wewe fanya ufanya kigamboni haiwezi kuizidi Ilemela hata kidogo!
 
Mwanza ulinganishe na Dar haupo serous bora hata

Arusha kuna mzunguko mkubwa wa ela baada ya
Dar.
Mzunguko wa hela unapimwa kwa kipimo cha mdomo au unatumia kipimo gani? Hiyo arusha hta kwa kahama tu haifui dafu, ukitaka kutafuta hela nenda mikoa yenye uchumi mkubwa, na uchumi unapimwa kwa kutumia GDP na sio makamasi.
 
Uhakika mkuu.
 
Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania?
Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali,Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
Acha Mara moja kuifananisha dar es salaam TZ na MWANZA..

Mwanza ikifika jumapili jion hakuna usafir utasimama hapo nyakato sokoni / mecco masaa yaan muda mrefu bila usafir (transport)

Wakati mbagala/mbande/msongola kitonga/mvuti/ chanika /dondwe usafir uhakika 24/7

Nawasalimia TU.
 
Acha kukariri madesa, Dar ni 17% na Mwanza ni 9%, na kingine kinachosababisha ilo gap la GDP ni kuwa uchumi wa nchi wameu centralize Dar, HQ nyingi zipo Dar, na kila muhamala unaofanya kwa njia ya simu mapato yanahesabiwa Dar, mf brela n.k, hata mizigo mtu wa Mwanza kaagiza magari Japan lakini mzigo ukifika bandari ya Dar mapato yote, ushuru, kila kitu kinahesabiwa Dar, mtu wa mbeya analima mazao yanapelekwa Dar kufanyiwa processung na mapato yote yanahesabiwa Dar, mikoa ya Tanzania inatumika kuijenga Dar kiuchumi, mbali na hayo lakini Mwanza bado inaonesha mabavu kwa Dar, Mwanza haina mbeleko lakini inafukuza mwizi taratibu.
 
Acha kusingizia mbeleko kijana.
Dar es salaam ni business hub ya hii nchi.
Hiyo GDP haipimwi na mapato ya serikali peke yake.
Bali pia uwekezaji binafsi uliowekwa na mashirika binafsi katika huu mkoa.
Piga mahesabu Dar es salaam ina viwanda vingapi vya WATU BINAFSI achana na vya serikali halafu rudi Mwanza ina idadi ya viwanda vingapi vya mashirika ama watu binafsi.
 
Hivyo viwanda kwa kuona vipo Pwani lakini ni kama Dar imeazima viwanja Pwani waweke viwanda, ingekuwa viwanda vinamchango wa kiuchumi mkoani Pwani basi wasingekuwa mkiani kwenye uchumi, na umaskini uliotopea.
Idadi ya viwanda vya pwani unalinganisha na vya Dar es salaam!?
Hao wafanyakazi wa hivyo viwanda vya Pwani wanafanya kazi Pwani wanakuja kujenga Dar.
Ndio ujue Dar iko more environmental friendly kuliko kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…