inategemea na ngozi yake hapa sasa, na kwakua ameshapata vipele tayari heri aviache vikipotea na kukauka aende kwa daktari ashauliwe aina nzuri ya cream kulingana na ngozi yake.Nyoa kwa kutumia shaving creams
niliwaza hivyo pia, aziache zikue halafu azikate kwa juu bila kugusa ngozi...kwa mkasi au mashine za kunyolea zenye jembe size tofauti.Aache Zikue Nyingi Ndiyo Anyoe
Mkuu mimi nikinyoa kwa wembe au gilete hufanya vipele sana na kuwasha nikapotezea kutumia wembe tupu ninanochofanya huzikata kwa kutumia wembe na kitana na pele hazitokei kabisa.inategemea na ngozi yake hapa sasa, na kwakua ameshapata vipele tayari heri aviache vikipotea na kukauka aende kwa daktari ashauliwe aina nzuri ya cream kulingana na ngozi yake.niliwaza hivyo pia, aziache zikue halafu azikate kwa juu bila kugusa ngozi...kwa mkasi au mashine za kunyolea zenye jembe size tofauti.
Ukimaliza kunyoa huwa unapaka nini? Kama haupaki chochote kanunue after shave itakusaidia maana hizo ni reaction unazozipata baada ya usafi
Ila unajitahidi sana kila miezi mitatu?
Huko mbaliNyoa kwa kutumia shaving creams