Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Nyoa kwa kutumia shaving creams
inategemea na ngozi yake hapa sasa, na kwakua ameshapata vipele tayari heri aviache vikipotea na kukauka aende kwa daktari ashauliwe aina nzuri ya cream kulingana na ngozi yake.
Aache Zikue Nyingi Ndiyo Anyoe
niliwaza hivyo pia, aziache zikue halafu azikate kwa juu bila kugusa ngozi...kwa mkasi au mashine za kunyolea zenye jembe size tofauti.
 
Duh, dunia Ina mengi Sana mkuu
Mimi Kuna muda matatizo yananifika mpaka natamani nisiamke niwe usingizi siku nzima,
Ila ndio maisha, wakati mwingine ukiangalia shida za wenzako unaona Bora wewe
 
inategemea na ngozi yake hapa sasa, na kwakua ameshapata vipele tayari heri aviache vikipotea na kukauka aende kwa daktari ashauliwe aina nzuri ya cream kulingana na ngozi yake.niliwaza hivyo pia, aziache zikue halafu azikate kwa juu bila kugusa ngozi...kwa mkasi au mashine za kunyolea zenye jembe size tofauti.
Mkuu mimi nikinyoa kwa wembe au gilete hufanya vipele sana na kuwasha nikapotezea kutumia wembe tupu ninanochofanya huzikata kwa kutumia wembe na kitana na pele hazitokei kabisa.
 
Aisee hata kuna muda huwa kinatokea kimoja then kinapotea.
 
Acha ubahili nunua mashine ya umeme ndogo ya kunyolea mavuzi sh elf 15 hutokaa uone vipele.

Apo unanyoa harafu zikianza kuota zinaingia ndani ya ngozi ndo maana zinatengeneza kitu kama vinundu
 
Aisee, acha kunyoa kabisa...hamna sababu ya kunyoa labda kamu uwe ni mchafu kuoga
 
Ukimaliza kunyoa huwa unapaka nini? Kama haupaki chochote kanunue after shave itakusaidia maana hizo ni reaction unazozipata baada ya usafi

Ila unajitahidi sana kila miezi mitatu?
Nyoa kwa kutumia shaving creams
Huko mbali

Hata akiogea tu medicated soap kama dettol au protex then baada ya kuoga anajipaka tena. inakausha.
 
Hakikisha unanyoa baada ya nywele kurefuka kiasi, nyoa kwa kushuka chini harafu ukimaliza paka poda nyingi sana kama vile unasugua hivi.
 
Kama unatumia rungu kunyoa, acha kabisa. Tafuta Gillete, kabla ya kunyoa paka sabuni hadi povu likolee, tulia kidogo kisha nyoa. Baada ya kunyoa, oga vizuri. Paka mafuta ya olive oil
 
Wewe ni ME/KE?... Maana dawa nilonayo inatibu kutegemeana na jinsia yako
 
Parua ayo mapele kwa wembe mkali na nyunyuza penicillin high dozen
 
Back
Top Bottom