Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mzanzibari ni mtanzania...hapana.
..wenyewe wanasema waziwazi kwamba wao ni Wazanzibari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzanzibari ni mtanzania...hapana.
..wenyewe wanasema waziwazi kwamba wao ni Wazanzibari.
Sasa ndezi si ndio wewe usiyejua kuwa kuna wazanzibar wakazi kwenye idara mbalimbali za tanganyika what a shame au ndio uchawa?Mawazo ya kindezi ndio haya. Masauni na Samia wote ni watanzania.
Mzanzibari ni mtanzania.
Wote hao ni watanzania. Ndezi ni nyinyi wenye kuhoji vitu visivyoyasaidia chochote maisha yenu binafsi.Sasa ndezi si ndio wewe usiyejua kuwa kuna wazanzibar wakazi kwenye idara mbalimbali za tanganyika what a shame au ndio uchawa?
Vipi akiwa Mtanganyika, kule Zanzibar iweje?Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani nitaelewekaje, Watu wa kwao wawe na uwezo wa kumhoji akishastaafu.
Omari Mahita baada ya kustaafu alihojiwa na Wananchi kwa njia mbali mbali kutokana na ukatili wake akiwa madarakani, wako waliomhoji uso kwa uso, na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu
Huu ndio uwajibikaji wa kuvuna ulichopanda, Sasa mnapokuwa na mtu kutoka Mchambawima ama kibanda maiti aweza kufanya atakavyo kwa vile hakuna Mtanganyika atakayemhoji baada ya kustaafu.
Nongwa za kike hizi mkuu Joka Kuu, Huku bara kuna eneo kubwa sana tujikite kwenye kuendeleza kilimo kuliko hizi chuki za kipuuzi za watoto wadogo wa sekondari...uraia pacha.
..kwanini Watanganyika hatupewi uraia pacha kama Wazanzibari?
..kiwepo kitambulisho cha MTANGANYIKA.
Samia kachukua wazamzibari na kuwakabidhi waongoze mambo ya ndani na ya nje ya watanganyika, hili halijawahi kutokea na halikubaliki. Watanzania tuamkeHii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani nitaelewekaje, Watu wa kwao wawe na uwezo wa kumhoji akishastaafu.
Omari Mahita baada ya kustaafu alihojiwa na Wananchi kwa njia mbali mbali kutokana na ukatili wake akiwa madarakani, wako waliomhoji uso kwa uso, na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu
Huu ndio uwajibikaji wa kuvuna ulichopanda, Sasa mnapokuwa na mtu kutoka Mchambawima ama kibanda maiti aweza kufanya atakavyo kwa vile hakuna Mtanganyika atakayemhoji baada ya kustaafu.
Kaanza yeye hakuna ambaye angejadili habari hizi. Watanganyika ndiyo maana tulikubali kuitwa waTanzania lakini waZanzibar hawaitwi waTanzania. Waulize hata leo. Hata nafasi za kazi za Zanzibar zinasema uwe Mzanzibar mkazi ambapo mtu wa bara hauna nafasi. Nafasi za huku bara zinatangazwa kuwa awe Mtanzania ambapo wao huingia kuomba.Nongwa za kike hizi mkuu Joka Kuu, Huku bara kuna eneo kubwa sana tujikite kwenye kuendeleza kilimo kuliko hizi chuki za kipuuzi za watoto wadogo wa sekondari.
JPM alipokuwa rais hatukuwa na hizi mada za chuki, kaja SSH tunaanzisha maongezi ya kibaguzi.
Ubaguzi ni mbaya sana na madhara yake hayaishii kwenye kizazi cha leo huenda mbali zaidi.
Usiwasahaulishe watu wanataka kujua maisha yao ya leo na ya watoto wao. Siasa ni maisha. Ndiyo inayoweza kuleta amani au chuki.Piganieni upatikanaji wa Katiba mpya iliyo nzuri ambayo itamuweka kila mtu aliyopo kwenye nchi hii ya Tanzania kuwa yupo chini ya Sheria, no one shall be above the law.
Hii itasaidia kuondoa haya mambo yote hayo yasiyofaa.
WeeeeeSamia kachukua wazamzibari na kuwakabidhi waongoze mambo ya ndani na ya nje ya watanganyika, hili halijawahi kutokea na halikubaliki. Watanzania tuamke
Nongwa za kike hizi mkuu Joka Kuu, Huku bara kuna eneo kubwa sana tujikite kwenye kuendeleza kilimo kuliko hizi chuki za kipuuzi za watoto wadogo wa sekondari.
JPM alipokuwa rais hatukuwa na hizi mada za chuki, kaja SSH tunaanzisha maongezi ya kibaguzi.
Ubaguzi ni mbaya sana na madhara yake hayaishii kwenye kizazi cha leo huenda mbali zaidi.
Ukilewa usiingie jfSikudhani kama uko na fikra mgando namna hii...shame!
Uzalendo wako uko wapi ?!! Gosh
Yaani unaleta hoja za utanganyika ?!!
Ubaguzi mkongwe huu
Argument ad hominem [emoji1787][emoji1787]Ukilewa usiingie jf
Huu ndio mjadala tunaoutaka..hakuna watu wabaguzi kama Wazanzibari.
..Ndio maana ukaona Mtanganyika anatandikwa viboko Zanzibar.
..Je, umewahi kuona Mzanzibari akishambuliwa huku Tanganyika?
..Kusema Watanganyika tunaonewa ktk muungano ni kweli.
..Kwanini hatuna serikali yetu? Kwanini hatuna Raisi wetu?
..Tunataka muungano wa HAKI, na kudai hayo haimaanishi tunabagua Wazanzibari.
NB:
..kusema wakati wa Jpm hakukuwa na ubaguzi ni uongo. Jpm aliilenga jamii fulani na chama fulani kwa chuki na ubaguzi.
na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu📌🔨Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani nitaelewekaje, Watu wa kwao wawe na uwezo wa kumhoji akishastaafu.
Omari Mahita baada ya kustaafu alihojiwa na Wananchi kwa njia mbali mbali kutokana na ukatili wake akiwa madarakani, wako waliomhoji uso kwa uso, na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu
Huu ndio uwajibikaji wa kuvuna ulichopanda, Sasa mnapokuwa na mtu kutoka Mchambawima ama kibanda maiti aweza kufanya atakavyo kwa vile hakuna Mtanganyika atakayemhoji baada ya kustaafu.
Hizo wizara za mambo ya ndani na mambo ya nnje ni za Tanganyika au za muungano ? Pole sanaSamia kachukua wazamzibari na kuwakabidhi waongoze mambo ya ndani na ya nje ya watanganyika, hili halijawahi kutokea na halikubaliki. Watanzania tuamke
Zanzibar wapo milioni moja sisi tupo milioni 63 japo tulifikirie hili.Kaanza yeye hakuna ambaye angejadili habari hizi. Watanganyika ndiyo maana tulikubali kuitwa waTanzania lakini waZanzibar hawaitwi waTanzania. Waulize hata leo. Hata nafasi za kazi za Zanzibar zinasema uwe Mzanzibar mkazi ambapo mtu wa bara hauna nafasi. Nafasi za huku bara zinatangazwa kuwa awe Mtanzania ambapo wao huingia kuomba.