Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

KAULI TATA NDANI YA QUR'AN:

Allah anamwambia hivi Mohammad:
"Surat Yunus 10:94. Na ukiwa una #shaka (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) katika yale Tuliyokuteremshia, basi #waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekujia haki kutoka kwa Rabb wako, basi usijekuwa miongoni mwa wanaoshuku.

Ukisoma vizuri hiyo aya utabaini kwamba:

1. Allah hana uhakika na kile alichoteremshiwa Muhammad kwamba kipo sahihi kwa asilimia 100

2. Anamsihi Muhammad ikiwa atakutana na #Shaka kwenye QUR'AN, Basi aende akawaulize Wale waliosoma Vitabu kabla ya Muhammad. Na hawa sio wengine Ni Wayahudi na Manasara(Wakristo).

3. Kwa mantiki hiyo Allah anaikubali sana Biblia kuliko QUR'AN. Maana Kama QUR'AN ingekuwa ipo vizuri kamwe Allah hangemwambia hivyo Muhammad.

#Hebu fikiria ukisikia mwalimu anawaambia wanafunzi kwamba ikiwa mna shaka au kuna mahali hamjapaelewa Basi Muulizeni Yusuph, Ina maana uwezo wa Yusufu darasani ni mkubwa kuliko wanafunzi wengine na ndio maana Hadi mwalimu anamkubali.

Kwa hiyo Biblia ni kitabu bora Duniani, kinachotatua Shida za watu, kuliko Vitabu vingine. Haina maana Vitabu vingine havifai la hasha!!! Vinafaa, lakini Kiongozi mkuu ni Biblia.
 
Huyu mmarekani anawaweza kwelikweli,kumbe hata misikiti mingi ya Dar ni pandikizi la wamarekani?maana mingi ina mawaidha ya kuwatukuza alqaeda,alshabaab....mmarekani noma.
 
Huyu mmarekani anawaweza kwelikweli,kumbe hata misikiti mingi ya Dar ni pandikizi la wamarekani?maana mingi ina mawaidha ya kuwatukuza alqaeda,alshabaab....mmarekani noma.
Kama kungekuwa na kitu kinaitwa taifa kuachiwa laana ya mungu basi Marekani ingekuwa number moja.Migogoro mingi ya kidunia chanzo ni Mmarekani mnafiki hata hii vita ya Ukraine thumuni lake sio tu kwamba anaitetea Ukraine maana ingekuwa hivyo angetuma Majeshi ni kwasababu kwanza anapigana na Urusi kwa remote ni sawa na wewe unamtuma mtoto mdogo akapige vioo nyumba ya Jirani halafu wewe sasa utaangalia jirani akijibu atatumia mawe ya ukubwa gani na ya aina gani wakati wewe unachekelea huendi kusaidia kupiga mawe.Maana ingine ni kuwa Marekani anafanya hivyo kupima nguvu ya Mrusi na kumsogelea ili aitawale dunia.
Hivi hujawahi jiuliza ni kwanini Raisi wa Marekani japo haipo kikatiba hawezi kuwa Muislam aslani au Mkristo wa dhehebu la kikatoliki.Alitokea mmoja tu Mkatoliki Kennedy na wakamuua.Wanaogopa hizi number Muislam na Mkatoliki maana ni mataifa yenye nguvu kumbuka dola la warumi ndio ilikuwa world super power enzi na kabla ya YESU.
 
Wewe ni KOT(Kilaza Of all Time) kwa daraja la ujinga uliofikia ndio maana watu wanakupuuza wanajua wanazungumza na mtu ambaye kichwani hamna kitu.

Qur'an haichambuliwi kama gazeti kama unasoma gazeti ndio maana kuna elimu na vitabu kuhusu Exegesis of Qur'an ili kujua essence of verses kwa hiyo nakushauri jaribu kuficha ujinga wako soma vitabu vya uchambuzi kama Tafsir ya Ibn kathir kabla ya kupost..
 
Hawa jamaa hata nyuzi iwe inamsema muhindi watapeleka Ktk engo wanayoitaka ilimradi wapate nafasi ya kukebehi uislamu na utukufu wake na wapo humu wengi baadhi wamejitokeza na kuanza kebehi zao Ktk siti za mwanzo ,sijui wana shida gani kichwani?
 
Shekh, ongezea nna ile ya kila mwanaume kupewa wanawake 72; wote mabikira. Watu hawajui tu....
 
Mwanzo 25:9

Isaka na Ishmaeli, wanawe Abrahamu, wakamzika baba yao katika pango la Makpela, mashariki ya Mamre kwenye shamba lililokuwa la Efroni, mwana wa Sohari, Mhiti.
 
Unalijua taifa teule ni lipi?
Si ni lile Taifa ambalo watu wake baada ya kutapakaa duniani likamua lijianzishe may 1948 liliona mipaka yake haitoshi na kuamua kuvamia jirani na kuchukua maeneo yao na kuua wa Palestine wasiokuwa na hatia licha ya kukaribishwa kistaarabu huku wakijua hawa watu ni ndugu kumbe nyoka
 
Israel ilichukua maeneo zaidi baada ya walowezi wa ardhi yao kuanzisha vita. Waarabu walijaribu sana kutaka kuwaondoa na kuwamaliza lakini ikashindikana mpaka egypt akaja kuomba maridhiano.

Jehovah anailinda Ile nchi kwasababu ni ya muhimu katika kukamilisha siku hizi za mwisho mwisho kabla Yesu Kristo hajarudi.
 
A
Acha Uongo , Joe Biden Ni Mkatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…