TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

ETI NI KWELI MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA MMEMKATAA MWEKEZAJI ANAYETAKA KUWEKEZA $ USD MILIONI MOJA KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

Kupitia akaunti yake ya faceboo Mh. Jimmy Karugenzi anasema;"TUWEKE MAMBO SAWA"
Nimekutana na mwananchi mmoja akaniuliza swali
"Mh. Naibu Meya, eti ni kweli madiwani wa manispaa ya Bukoba mmemkataa mwekezaji anayetaka kuwekeza $ milioni moja katika manispaa yetu ya Bukoba"

Kwa sababu swali hili nimekuwa nikiulizwa na watu wengi napenda kuliweka jambo hili wazi na wana Bukoba manispaa mnaweza jua ukweli kuhusu jambo hili na mnaweza tupa ushauri maana mji huu ni mali yenu ili tufanye maamuzi yaliyo bora kama tutaona inafaa.

Ni kweli kwamba hata kabla ya kipindi chetu yupo mzungu mmoja mmarekani ambaye ni Profesa wa mambo ya kale amekuwa akiomba apewe eneo la wazi ambalo linajulikana sana kwa jina la Bukoba Club au Gymkana ili ajenge jumba kubwa litakalohusisha kutunza na kufanya maonyesho ya mambo ya kale ya mkoa wetu wa Kagera. Jumba hili litakuwa na kumbi na hotel ndani. Profesa huyu amekuwa kwa miaka mingi akifanya tafiti kuhusu mambo ya kale ya mkoa huu na ameandika pia vitabu kuhusiana na jambo hili. Hivyo aliona ni vema pia akafanya project ya ujenzi wa makumbusho na kwa kushirikiana na idara ya maendeleo jamii ya ofisi ya RAS Kagera walileta maombi ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ili wapewe eneo hilo la wazi nililolitaja maana upangaji na ugawaji wa maeneo katika matumizi ni kazi ya ofisi ya mkurugenzi kupitia halmashauri yake.

Ni ukweli kuwa jambo hili ili lipate baraka lililetwa katika vikao vya kamati mbali mbali husika na hata katika baraza la madiwani kwa majadiliano na vibali.

MKWAMO ULIPO

Kamati husika na hata baraza la madiwani halikuridhia utoaji wa eneo hilo na badala yake walitoa ushauri kwamba ni vizuri eneo hilo libaki kwa matumizi yake ya awali yaliyokusudiwa ambayo ni kuwa eneo la burudani na michezo na mwekezaji atafutiwe eneo jingine aweze kuweka mradi wake ambao hata halmashauri inaupenda lakini inaonekana kama mwekezaji anapenda apewe eneo hilo hilo tu na si vinginevyo. Ndugu zangu wana Bukoba, nyie ni mashahidi kwamba mji wa Bukoba hauna eneo lolote jingine la wazi lililobaki kwa ajili ya shughuli za kijamii kama mikusanyiko, michezo na burudani na mapumziko zaidi ya eneo hili. zamani tulitumia uwanja wa Kaitaba na uwanja wa Uhuru platform populary known as uwanja wa Mayunga. Viwanja hivi sasa havitumiki baada ya kuzuiwa tokana na matumizi mengineyo. Kiwanja cha kaitaba baada ya kuwekewa nyasi bandia kimebaki kama kiwanja cha michezo mikubwa. Lakini viwanja vinavyoombwa ndivyo pekee vilivyo wazi kwa watu kwenda kufanya shughuli za burudani za michezo. Vijana wetu wanahitaji viwanja vya michezo. Shule zetu nyingi zina maeneo finyu kiasi cha kukosa maeneo ya kuweka viwanja vya michezo na eneo hili bado linaweza tumiwa na vijana hawa kujifurahisha katika michezo. Eneo jingine katika eneo hilo lina ukumbi wa Bukoba club ambayo pia bado inadai kulimiliki. Kwa sababu hiyo ushauri wetu kwa mwekezaji wetu mpendwa ilikuwa ni kumpa eneo jingine kwenye maeneo yetu katika mradi wa viwanja 5000 lakini ameendelea kushikilia kupewa eneo hilo hilo. Sisi madiwani hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kukataa pesa nzuri kama hiyo kuwekezwa katika manispaa. Lakini tunaogopa sana pia kuwekeza eneo hilo na kuacha wananchi wakikosa eneo la kutumia katika shughuli zao za kijamii. Wote mnakumbuka katika siku za karibuni eneo hili ndio linatumika hata katika mikutano mbalimbali maana hakuna eneo jingine linaloweza beba wana Bukoba. Tunaupenda uwekezaji ambao hautaleta pia usumbufu mwingine ambao hatutaweza kuujibu. Tusingependa kuhesabiwa dhambi ya kusababisha wana Bukoba kutokuwa na maeneo ya wazi. Lakini tuko tayari kabisa kukaa chini na mwekezaji huyu na wengine wote watakaokuja na mawazo mazuri ya namna bora ya kufanya uwekezaji bila ya kuathiri eneo lile.

KWA MANENO HAYA MACHACHE NITAKUWA NIMEJIBU WENGI WALIOKUWA WAKITEGEMEA KUNIULIZA. ASANTENI Nakaribisha maoni na mawazo mengine.
 
Ni vizur kuwa na maeneo ya wazi kwa ajili ya wananchi, lakin vile vile si sahihi kuacha uwekezaji mkubwa kama huo ukapotea. Niamini kama hakuna maslahi binafsi ya mtu hili swala linaweza kutatuliwa na mwishowe vitu vyote mkavipata. Mimi sio mtaalamu ila najua bukoba bado ina maeneo mengi ya wazi na mazuri kwa ajili kazi mbalimbali, so itashanga sana kuona eti mwekezaji kakosa eneo. Cha msingi ni kuzungumza na kufanya maamuzi ili mwisho wa siku upate vyote.
 
ETI NI KWELI MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA MMEMKATAA MWEKEZAJI ANAYETAKA KUWEKEZA $ USD MILIONI MOJA KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

Kupitia akaunti yake ya faceboo Mh. Jimmy Karugenzi anasema;"TUWEKE MAMBO SAWA"
Nimekutana na mwananchi mmoja akaniuliza swali
"Mh. Naibu Meya, eti ni kweli madiwani wa manispaa ya Bukoba mmemkataa mwekezaji anayetaka kuwekeza $ milioni moja katika manispaa yetu ya Bukoba"

Kwa sababu swali hili nimekuwa nikiulizwa na watu wengi napenda kuliweka jambo hili wazi na wana Bukoba manispaa mnaweza jua ukweli kuhusu jambo hili na mnaweza tupa ushauri maana mji huu ni mali yenu ili tufanye maamuzi yaliyo bora kama tutaona inafaa.

Ni kweli kwamba hata kabla ya kipindi chetu yupo mzungu mmoja mmarekani ambaye ni Profesa wa mambo ya kale amekuwa akiomba apewe eneo la wazi ambalo linajulikana sana kwa jina la Bukoba Club au Gymkana ili ajenge jumba kubwa litakalohusisha kutunza na kufanya maonyesho ya mambo ya kale ya mkoa wetu wa Kagera. Jumba hili litakuwa na kumbi na hotel ndani. Profesa huyu amekuwa kwa miaka mingi akifanya tafiti kuhusu mambo ya kale ya mkoa huu na ameandika pia vitabu kuhusiana na jambo hili. Hivyo aliona ni vema pia akafanya project ya ujenzi wa makumbusho na kwa kushirikiana na idara ya maendeleo jamii ya ofisi ya RAS Kagera walileta maombi ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ili wapewe eneo hilo la wazi nililolitaja maana upangaji na ugawaji wa maeneo katika matumizi ni kazi ya ofisi ya mkurugenzi kupitia halmashauri yake.

Ni ukweli kuwa jambo hili ili lipate baraka lililetwa katika vikao vya kamati mbali mbali husika na hata katika baraza la madiwani kwa majadiliano na vibali.

MKWAMO ULIPO

Kamati husika na hata baraza la madiwani halikuridhia utoaji wa eneo hilo na badala yake walitoa ushauri kwamba ni vizuri eneo hilo libaki kwa matumizi yake ya awali yaliyokusudiwa ambayo ni kuwa eneo la burudani na michezo na mwekezaji atafutiwe eneo jingine aweze kuweka mradi wake ambao hata halmashauri inaupenda lakini inaonekana kama mwekezaji anapenda apewe eneo hilo hilo tu na si vinginevyo. Ndugu zangu wana Bukoba, nyie ni mashahidi kwamba mji wa Bukoba hauna eneo lolote jingine la wazi lililobaki kwa ajili ya shughuli za kijamii kama mikusanyiko, michezo na burudani na mapumziko zaidi ya eneo hili. zamani tulitumia uwanja wa Kaitaba na uwanja wa Uhuru platform populary known as uwanja wa Mayunga. Viwanja hivi sasa havitumiki baada ya kuzuiwa tokana na matumizi mengineyo. Kiwanja cha kaitaba baada ya kuwekewa nyasi bandia kimebaki kama kiwanja cha michezo mikubwa. Lakini viwanja vinavyoombwa ndivyo pekee vilivyo wazi kwa watu kwenda kufanya shughuli za burudani za michezo. Vijana wetu wanahitaji viwanja vya michezo. Shule zetu nyingi zina maeneo finyu kiasi cha kukosa maeneo ya kuweka viwanja vya michezo na eneo hili bado linaweza tumiwa na vijana hawa kujifurahisha katika michezo. Eneo jingine katika eneo hilo lina ukumbi wa Bukoba club ambayo pia bado inadai kulimiliki. Kwa sababu hiyo ushauri wetu kwa mwekezaji wetu mpendwa ilikuwa ni kumpa eneo jingine kwenye maeneo yetu katika mradi wa viwanja 5000 lakini ameendelea kushikilia kupewa eneo hilo hilo. Sisi madiwani hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kukataa pesa nzuri kama hiyo kuwekezwa katika manispaa. Lakini tunaogopa sana pia kuwekeza eneo hilo na kuacha wananchi wakikosa eneo la kutumia katika shughuli zao za kijamii. Wote mnakumbuka katika siku za karibuni eneo hili ndio linatumika hata katika mikutano mbalimbali maana hakuna eneo jingine linaloweza beba wana Bukoba. Tunaupenda uwekezaji ambao hautaleta pia usumbufu mwingine ambao hatutaweza kuujibu. Tusingependa kuhesabiwa dhambi ya kusababisha wana Bukoba kutokuwa na maeneo ya wazi. Lakini tuko tayari kabisa kukaa chini na mwekezaji huyu na wengine wote watakaokuja na mawazo mazuri ya namna bora ya kufanya uwekezaji bila ya kuathiri eneo lile.

KWA MANENO HAYA MACHACHE NITAKUWA NIMEJIBU WENGI WALIOKUWA WAKITEGEMEA KUNIULIZA. ASANTENI Nakaribisha maoni na mawazo mengine.
Hata kama muwekezaji binafs ntakuwa wa kwanza kupinga eneo la gymkana liachwe kama lilivyo ndo eneo la wazi lililobaki na kwa wana bukoba
 
Watafutiwe pengine hata kama ni viwanja vya maeneo ya bwalo la polisi kuelekea miembeni mbona kuna plots ziko wazi, kulitumia hilo eneo ni kumisuse na kuwakosesha wananchi pa kukutana na kufanya burudani kwenye mwambao wao wa ziwa. Tuchukulie mfano eneo la koko beach na walichotaka kulifanya, leo kila mmoja anapongeza maamuzi ya raisi alafu leo tunajitoa utimamu tena tunataka kurudia kosa lile lile.

Binafsi napeenda sana mkoa wetu uwe wa mfano lakini si kwa maamuzi ya hivi katu
 
Kweli mkuu huyo mwekezaji ni vizuri wakaongea naye vizuri kama ana nia nzuri bukoba bado ina maeneo mengi mazuri ambayo mtu anaweza kujenga na akafurahia mandhari
 
ETI NI KWELI MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA MMEMKATAA MWEKEZAJI ANAYETAKA KUWEKEZA $ USD MILIONI MOJA KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

Kupitia akaunti yake ya faceboo Mh. Jimmy Karugenzi anasema;"TUWEKE MAMBO SAWA"
Nimekutana na mwananchi mmoja akaniuliza swali
"Mh. Naibu Meya, eti ni kweli madiwani wa manispaa ya Bukoba mmemkataa mwekezaji anayetaka kuwekeza $ milioni moja katika manispaa yetu ya Bukoba"

Kwa sababu swali hili nimekuwa nikiulizwa na watu wengi napenda kuliweka jambo hili wazi na wana Bukoba manispaa mnaweza jua ukweli kuhusu jambo hili na mnaweza tupa ushauri maana mji huu ni mali yenu ili tufanye maamuzi yaliyo bora kama tutaona inafaa.

Ni kweli kwamba hata kabla ya kipindi chetu yupo mzungu mmoja mmarekani ambaye ni Profesa wa mambo ya kale amekuwa akiomba apewe eneo la wazi ambalo linajulikana sana kwa jina la Bukoba Club au Gymkana ili ajenge jumba kubwa litakalohusisha kutunza na kufanya maonyesho ya mambo ya kale ya mkoa wetu wa Kagera. Jumba hili litakuwa na kumbi na hotel ndani. Profesa huyu amekuwa kwa miaka mingi akifanya tafiti kuhusu mambo ya kale ya mkoa huu na ameandika pia vitabu kuhusiana na jambo hili. Hivyo aliona ni vema pia akafanya project ya ujenzi wa makumbusho na kwa kushirikiana na idara ya maendeleo jamii ya ofisi ya RAS Kagera walileta maombi ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ili wapewe eneo hilo la wazi nililolitaja maana upangaji na ugawaji wa maeneo katika matumizi ni kazi ya ofisi ya mkurugenzi kupitia halmashauri yake.

Ni ukweli kuwa jambo hili ili lipate baraka lililetwa katika vikao vya kamati mbali mbali husika na hata katika baraza la madiwani kwa majadiliano na vibali.

MKWAMO ULIPO

Kamati husika na hata baraza la madiwani halikuridhia utoaji wa eneo hilo na badala yake walitoa ushauri kwamba ni vizuri eneo hilo libaki kwa matumizi yake ya awali yaliyokusudiwa ambayo ni kuwa eneo la burudani na michezo na mwekezaji atafutiwe eneo jingine aweze kuweka mradi wake ambao hata halmashauri inaupenda lakini inaonekana kama mwekezaji anapenda apewe eneo hilo hilo tu na si vinginevyo. Ndugu zangu wana Bukoba, nyie ni mashahidi kwamba mji wa Bukoba hauna eneo lolote jingine la wazi lililobaki kwa ajili ya shughuli za kijamii kama mikusanyiko, michezo na burudani na mapumziko zaidi ya eneo hili. zamani tulitumia uwanja wa Kaitaba na uwanja wa Uhuru platform populary known as uwanja wa Mayunga. Viwanja hivi sasa havitumiki baada ya kuzuiwa tokana na matumizi mengineyo. Kiwanja cha kaitaba baada ya kuwekewa nyasi bandia kimebaki kama kiwanja cha michezo mikubwa. Lakini viwanja vinavyoombwa ndivyo pekee vilivyo wazi kwa watu kwenda kufanya shughuli za burudani za michezo. Vijana wetu wanahitaji viwanja vya michezo. Shule zetu nyingi zina maeneo finyu kiasi cha kukosa maeneo ya kuweka viwanja vya michezo na eneo hili bado linaweza tumiwa na vijana hawa kujifurahisha katika michezo. Eneo jingine katika eneo hilo lina ukumbi wa Bukoba club ambayo pia bado inadai kulimiliki. Kwa sababu hiyo ushauri wetu kwa mwekezaji wetu mpendwa ilikuwa ni kumpa eneo jingine kwenye maeneo yetu katika mradi wa viwanja 5000 lakini ameendelea kushikilia kupewa eneo hilo hilo. Sisi madiwani hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kukataa pesa nzuri kama hiyo kuwekezwa katika manispaa. Lakini tunaogopa sana pia kuwekeza eneo hilo na kuacha wananchi wakikosa eneo la kutumia katika shughuli zao za kijamii. Wote mnakumbuka katika siku za karibuni eneo hili ndio linatumika hata katika mikutano mbalimbali maana hakuna eneo jingine linaloweza beba wana Bukoba. Tunaupenda uwekezaji ambao hautaleta pia usumbufu mwingine ambao hatutaweza kuujibu. Tusingependa kuhesabiwa dhambi ya kusababisha wana Bukoba kutokuwa na maeneo ya wazi. Lakini tuko tayari kabisa kukaa chini na mwekezaji huyu na wengine wote watakaokuja na mawazo mazuri ya namna bora ya kufanya uwekezaji bila ya kuathiri eneo lile.

KWA MANENO HAYA MACHACHE NITAKUWA NIMEJIBU WENGI WALIOKUWA WAKITEGEMEA KUNIULIZA. ASANTENI Nakaribisha maoni na mawazo mengine.
Kwa hilo tunakushukuru sana mkuu mh. meya, maeneo ya wazi ni muhimu sana na kama ingekuwa inawezekana basi kila mtaa ulitakiwa kuwa na open space kwa ajiri ya lundo la matumizi kuanzia yale ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na hata ya kiutamaduni
 
Kuna ndugu zetu wanashindaga fb kutwa wanasalimiana ila ya huku kuhusu hatma zao na watoto wao haswa wala hawana habari. Mwisho wa siku mambo ya muhimu kama haya yanakosa wachangiaji, sasa sijuhi kifanyike kitu gani ili kuweza kuwafanya walau wajue kuna majukwaa kama haya
 
Ni sisi wenyewe tu kujaribu ku-share huko fb kwenye magroup mbalimbali ambayo tunaamin wanapatikana wenzetu kwa wingi
 
Barabara iendaye stendi imeshakamilika
e0da3def14428f4052a2fa3259d95497.jpg

1e2335f806836885b6d63806d68db3b7.jpg

4b48ca13e6e168ef5108e89c76e99882.jpg

Ujenzi wa majengo mbalimbali

61d5cdfc0d9d5d6b7a30a135bfdebe54.jpg

2a5265635ec9f6f32339bd3fac0b5eab.jpg

Bado wanaendelea na usawazishaji
7ff1ba73a2ab59d254b0c72ec642f46f.jpg

07bc45de655a46b73ec152e29086f211.jpg

7b1fd32aa5a0d93e50c40fdffa6d8df5.jpg

c350b9cd36dc2e860a24627477d54632.jpg
 
Bukoba kwenu kupata maendeleo itakuwa ni ndoto, kwa sababu asili ya muhaya yeyote duniani ni kuona mwenzie anataabika,anadhalilika, analia na njaa, mjiulize ni kwa nini mkuu aliwakazia hawa watu walipopata majanga ya tetemeko la ardhi, ## ni kwa sababu anawajua vizuri tabia zao
Utakuwa umetumwa wewe sio bure
 
Back
Top Bottom