kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hiyo ambulance imegeuka tax!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ujauzito ni mchakato maandalizi ya kujifungua ni muhimu sana hasa kwa wanaume tusiishie kutia mimba tu tuwajibike unakuta jitu linatia mimba Kila baada ya miaka miwili hospital akiambiwa achangie japo dawa na vipimo anakuambia Sina pesa inasikitisha sana.
PumbavuuuAcha kufananisha utamu wa goli na vitu vya kijinga
Kuna fani yaoo....Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Kwahiyo mjamzito kufa ni jambo la kijinga?Acha kufananisha utamu wa goli na vitu vya kijinga
Kuna mbunge wa huyo mama kuna mkuu wa wilaya anayotoka huyo mama, kuna mkuu wa mkoa. kuna serikali nzima kabla hujamhusisha SSH.Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Fuata kwanza wahusika wa mkoa wake huyo mama. Samia hana uwezo wa kumfikia kila mwanamama mjamzito na kutatua matatizo yake.Kwahiyo mjamzito kufa ni jambo la kijinga?
Mama Sa100 kagundua kwenye mpira ndo kumejaa WAJINGA wengi kaamua kuelekeza nguvu kubwa huko na kuacha mambo ya msingi ya kuondoa changamoto za Watanzania. Huduma za afya mbovu, barabara mbovu nk.Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Duh!Acha kufananisha utamu wa goli na vitu vya kijinga
Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Naunga mkono hojaPumbavuuu
Soma kwa makini ulichoandika utaona kosa sehemuPesa za kuwapa wasanii wa bongo movie ilio jifia hazipo ila za vitu vya msingi hazipo
Umeandika maviPesa za kuwapa wasanii wa bongo movie ilio jifia hazipo ila za vitu vya msingi hazipo
Kwa hiyo wewe ungekuwa dereva wa hiyo ambulance ungetoa fedha yako ununue mafuta?Hatuwezi kulaumu serikali kwa kila kosa linalofanywa na watu huku chini!,sio kwamba hawakuweza kumuwahisha hospital huyo mama mambo mengine sie wananchi wenyewe hatuna uwajibikaji huyo dereva alishindwa nini kuwasaidia mafuta ya 180000! hata nauli mwanza dar haifiki hiyo hii ni rushwa sasa!..
huo si uzembe wa rais ni uwajibikaji wa dereva ama hiyo sehemu anayofanyia kazi,mwananchi hawezi kulipia pesa yote hiyo et mafuta huo ni uzandiki!.
watanzania tubadilike kwanini tutumie shida za mwengine kama sehemu yakupatia fedha,kwani kila mtu akifanya wajibu wake nini kitaharibika!!.
uchunguzi ufanyike na wanaotakiwa kuwajibishwa wawajibishwe hatuwezi kulea huu upuuzi kiasi hichi,hizi ni tamaa za watu binafsi!.