Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

Goli la mama.limeingiaje

Tungekuwa wote tunafanya wizara ya afya wahandisi wangekuwa wapi

Ndioo maana kila sehemu
Kuna fani yaoo....

Rip mama....ujaonaaa mtu amefia kwenye ambulance na katoka mzima

Mapenzi ya Bwana yatimizwe
 
Kuna mbunge wa huyo mama kuna mkuu wa wilaya anayotoka huyo mama, kuna mkuu wa mkoa. kuna serikali nzima kabla hujamhusisha SSH.

Wote hao wanahusika na wanawajibika kumsaidia huyo mama. Kuna zahanati zinazojengwa kwa pesa za kodi na huko Morogoro zipo nyingi tu.

Magoli yatanunuliwa tu kwani Simba na Yanga ni walipa kodi wakubwa kuliko taasisi nyingi zilizopo nchini. Wanao mchango mkubwa wa kukuza jina la Tanzania kimataifa.

Kila wanapofuzu makundi au robo fainali kuna pesa nyingi wanazoingiza kwenye akaunti za vilabu vyao na kuna kodi nyingi inayoingia serikali kuu.

Serikali haiwezi kumsaidia moja kwa moja kila mwanamke mjamzito, tupunguze hizi nongwa za kipuuzi.
 
Mama Sa100 kagundua kwenye mpira ndo kumejaa WAJINGA wengi kaamua kuelekeza nguvu kubwa huko na kuacha mambo ya msingi ya kuondoa changamoto za Watanzania. Huduma za afya mbovu, barabara mbovu nk.
 
 

Attachments

  • VID-20240912-WA0034.mp4
    10.2 MB
Uchunguzi unaendelea, haya mambi sio ya kuwapa wanasiasa.

Iwe jino kwa jino, mtafute aliesababisha wife na yeye mpeleke kuzimu.
 
Taifa limekuwa cursed kwa kuongozwa na mwanamke,

Yes hatutegemei kiongozi kuwa perfect 100 percent but kuna matumizi ya kipumbavu sana yanafanyika na huyu mwanamke ambayo kwa anayewaza sawasawa hakuna kiongozi atakubali yafanyike
 
Kwa hiyo wewe ungekuwa dereva wa hiyo ambulance ungetoa fedha yako ununue mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…