Huyo siye mungu anayepewa utukufu kama tunavowasikia wahubiri. sasa vizazi vina makosa gani yaliyotendwa na wazazi? Ndiyo maana nasema existence ya mungu ni mastory tu! Logic, common sense and intuition defies the existence of god!Usishangae analipiza kwa watoto wako na wajukuu zako
Mimi ni mkatoliki nafuata kwa vile ushirika huo unaleta harmony duniani, hauna ubaya. Mengine ambayo naona yamepinda huwa nayakataa maana are illogical!