Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Acha upumbafu hadhari eti wife kagoma watoto wasisome sheria

Ujinba sna umeleta hapa wife wako ndio anapanga nin mnakula na kusoma hyo familia mam ndio mwenye akili

Kwanza litoto linaweza kusoma hyo sheria na bdo akashindwa kutoboaa law school akaishi kuwa muuza duka la mangi au mtendaji wa kata

Sheria uwendi kilaza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pumbavu takataka wewe! Wewe ndiye unapanga leo mle nini? Utakuwa umeoa kilaza mwenzio! Wanasheria wangapi vilaza tunao huku mtaani? Hopeless kabisa wewe!
 
Sawa haku na ushahidi mpya, but kuna Wrong apprehension of evidence by the Judge!
c&P: A judgment must convey some indication the judge or magistrate has applied his mind to the evidence on the record. Though it may be reduced to a minimum/it must show that no material portion of the evidence before the court has been ignored...sasa inaweza ikatokea Judge hakufanya hivyo. Hivyo anything can come out of Rufaa!
Nakubaliana na wewe ndo maana nikamwambia huyo bint rufaa ni haki ya mlalamikiwa au mlalamikaji.
 
Tatizo watu wanachanganya haki na taaluma. Mbele ya sheria kila mtu ana haki (hata muuaji) ya kupewa Wakili wa Kumtetea. Tena Wakili anakwambia useme ukweli wa kilichotokea then baada ya hapo anatafuta weak points ili Mteja wake ashinde kesi. Kwenye kesi hii Wakili aliyekuwa anamtetea Mtuhumiwa hana shida. Tatizo lipo kwa Wapelelezi na Waendesha Mashtaka wetu. Yawezekana hawajajengewa uwezo wa kutosha wa kupambana kisheria na Mawakili Binafsi ambao ni Wabobevu.
Mawakili wengi wa serikali ni Zero, wanachoweza ni kusababisha kesi zichelewe.
 
Huyu dereva wa Lori amesababisha vifo vya watu 25 na majeruhi 22!!
Kesi yake atahudumiwa kifo hadi kunyongwa?

Je kesi yake Ina dhamana?

Nimeuliza tu!
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    134.1 KB · Views: 6
Binadamu wote tunaamini kwamba mtoa haki na afya ni Mungu.

Daktari anafanya kazi ya kuokoa uhai ambayo kisheria, haki ya kuishi ndiyo haki kuu kuliko zote. Bila uhai hata hiyo elimu huwezi kuipata. Kwa hiyo daktari anafanya kazi ya Mungu.

Mwanasheria anatoa haki na hukumu ambazo pia ni kazi za Mungu.

Kwa hiyo daktari na mwanasheria wanafanya kazi ambazo zinagusa majukumu ya Mungu moja kwa moja.

Sasa haki ya elimu na haki ya kuishi ni ipi kubwa?

Ukiwa na maisha ndipo haki nyingine zinafata.
We jamaa mbona hueleweki?

Unasema mjane ni sahihi kuachwa huru kisa hakuna ushahidi usioacha shaka.

Mara hiyo hiyo unasema haki ipo kwa mungu, ambaye huwezi kumthibitisha kwa ushahidi hata wenye shaka.

Na nyie ndiyo tunawategemea mtoa haki eti.
 
We jamaa mbona hueleweki?

Unasema mjane ni sahihi kuachwa huru kisa hakuna ushahidi usioacha shaka.

Mara hiyo hiyo unasema haki ipo kwa mungu, ambaye huwezi kumthibitisha kwa ushahidi hata wenye shaka.

Na nyie ndiyo tunawategemea mtoa haki eti.

Kwa mwandiko huu, usingeweza kunielewa.

Nimezungumza yaliyo taaluma yangu.

Siyo rahisi uelewe kwa upeo wako huo
 
Back
Top Bottom