Huyo siye mungu anayepewa utukufu kama tunavowasikia wahubiri. sasa vizazi vina makosa gani yaliyotendwa na wazazi? Ndiyo maana nasema existence ya mungu ni mastory tu! Logic, common sense and intuition defies the existence of god!Usishangae analipiza kwa watoto wako na wajukuu zako
Uko sahihi sana,ila wachache watakuekewa hapa...Siku ya kiama kila mtu atahukumiwa sawasawa na hesabu zake
Pia Mungu anahukumu kwa kutoa laana ya vizazi na vizazi
Usishangae analipiza kwa watoto wako na wajukuu zako
Kwa hiyo do right things bila kumuonea mtu
Uzuri sikuya kifo kilaa mtu anakiri uwepo wa Mungu, ukishiba kande utasema hayo manenoHuyo siye mungu anayepewa utukufu kama tunavowasikia wahubiri. sasa vizazi vina makosa gani yaliyotendwa na wazazi? Ndiyo maana nasema existence ya mungu ni mastory tu! Logic, common sense and intuition defies the existence of god!
Mimi ni mkatoliki nafuata kwa vile ushirika huo unaleta harmony duniani, hauna ubaya. Mengine ambayo naona yamepinda huwa nayakataa maana are illogical!
Sikiliza huyo Kako alishawahi kuwa bos wangu wakati flani miaka ya nyuma kuna sheria inaitwa NPSA soma kuanzia kifungu cha 16,17,18 kuna kitu kinaitwa Prosecution led investigation technically anayeongoza investigation ni wakili wa serekali. Kwa hiyo mawakili wa serekali hawakwepi lawama hapa.Shida sio kakolaki.
Kakolaki ni mzoefu kwenye kesi za jinai kafanya miaka mingi tangia akiwa wakili aa serikali , kapitia pia tume ya kupambana na madawa ya kulevya, huko ndiko anakopajua.
Tatizo lipo kwenye upepelezi, haufanyiki vizuri, niliwahi kushauri hapa na pia tume ya haki iliyoundwa na kumpa ripoti Rais Samia ilikuja na maoni kama hayo kuwa iundwe taasisi maalum ya upelelezi wa makosa ya jinai.
Bila kufanya hivyo tutarudi hapa kulaumiana kila siku.
Binadamu wote tunaamini kwamba mtoa haki na afya ni Mungu.2. Baada ya udakari, fani ya sheria inafuata kwa umuhimu wake kwa jamii
Mkuu kwamba hizo fani ndiyo za muhimu kuliko fani yoyote Duniani????
Kwahiyo UALIMU si lolote???
Fani ya ualimu ni mama na baba wa fani zote. Hizo nyingine ndizo hufuata. Hii ni kwa maoni yangu.
Ni kweli haitaji mashahidi ww mwenyewe unageuka kuwa shahidi wa kesi yakoHakimu wa kweli ni Mungu
Niambie ni sheria gani inasema uzuri wa wakili ni kushinda kesi.Sikiliza huyo Kako alishawahi kuwa bos wangu wakati flani miaka ya nyuma kuna sheria inaitwa NPSA soma kuanzia kifungu cha 16,17,18 kuna kitu kinaitwa Prosecution led investigation technically anayeongoza investigation ni wakili wa serekali. Kwa hiyo mawakili wa serekali hawakwepi lawama hapa.
Sheria fani ya uongo uongo..Sheria ni utapeli mtupu ,mtu anafanya dhulma kweny haki ya mtu.
Wakati mwingine ukosefu wa umahiri katika upelelezi na ukusanywaji vielelezo/ushahidi hutoa mwanya wa kutokea haya !!Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
Hakuna mtuhumiwa ameshinda kesi kwa kumdanganya wakili wake. Na wakili anapata hela nyingi zaidi akimwokoa mtuhumiwa ambaye anajua amefanya kosa. Maana aliyefanya kosa ndiye anayetoa kibunda cha kutosha. Tembea uone kaa na wanasheria watakuambia .Hapana mkuu ni kuwafanya wawe waadilifu. Wasisimamie mkosaji kumnasua kwa kisingizio cha kisheria.
Kuna wanasheria wakishajua ukweli tu, wanakukataa. Hawapo tayari kutetea uovu kisa kuna uwazi wa kisheria.
Elimu yenyewe ya Sheria inasimamiwa na sheria. Labda uniambie yeye alinukuu kifungu gani hadi kufikia hitimisho hilo.Shaaban Robert alisema _Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki. Was he right?
Thus tunasema kesi bongo ni biashara ya mtandao mpana wote bahasha kuanzia mchukua maelezo,mwendesha mashtaka,wakili,karani nk.Mkuu, kipi usichokielewa hapo? Mawakili wa Serikali ni aina ya watu waliojibwetesha sana. Mimi Wakili wa kujitegemea namtoza hela ndefu mteja wangu, hela hiyo ndefu ni pamoja na charges nitakazowalipaMawakili wa Serikali pindi nitakapikuwa nawapa maagizo ya watumie ushahidi upi, wauondoe upi, au waongee na kujibu nini.
Mawakili wa serikali huwa wanakuwa kwenye payrolls za watu.
Mfano ile kesi ya Mbowe unaona kabisa kuwa kilichokuwa kinapelekea Mbowe kuendelea kukaa ndani ni serikali kuamua ku deal na Majaji, kwamba inyeshe mvua au liwake jua, hakuna kumuachia. Sababu upande wa mawakili wa serikali wali flop vibaya mno, hakuna cha maana walichokuwa wakifanya.
Shirki kwenye kesi ndogo ndogo labdaKwa hio wameroga?
Kwa hio hawajaroga?Shirki kwenye kesi ndogo ndogo labda
Kumbuka Wakili ni mwakilishi wa mteja, yaani anamsemea mteja wake kulingana na maelekezo ya mteja.Hakuna mtuhumiwa ameshinda kesi kwa kumdanganya wakili wake. Na wakili anapata hela nyingi zaidi akimwokoa mtuhumiwa ambaye anajua amefanya kosa. Maana aliyefanya kosa ndiye anayetoa kibunda cha kutosha. Tembea uone kaa na wanasheria watakuambia .
Aisee watanzania kweli tumelala kwa hiyo bei ya Kibatala ni sawa na ya mawakili wengine. Ingekuwa hivyo ungemsikia Kibatala kwenye kesi za kuiba kuku. ππππKumbuka Wakili ni mwakilishi wa mteja, yaani anamsemea mteja wake kulingana na maelekezo ya mteja.
Kanuni zinaruhusu wakili kumtoza mteja ada ya kumuwakilisha.
Sasa suala la mipunga mingi, sheria imeweka hadi kiwango cha kutoza na kinakatwa kodi.
Kama wakili amechukua zaidi au pungufu ni makosa kisheria na kama una ushahidi unaweza kumshitaki.
Bei ya Kibatala kuwa juu au chini ya mawakili wengine haina maana kwamba Advocate Remunaration Rules hazijaweka viwango vya tozo.Aisee watanzania kweli tumelala kwa hiyo bei ya Kibatala ni sawa na ya mawakili wengine. Ingekuwa hivyo ungemsikia Kibatala kwenye kesi za kuiba kuku. ππππ
Nilikuwa nafuatilia kesi naona hoja za kitoto kabisa yaani mtu ukweli upo wazi ila anatumia ujanja kuhalalisha uongo.Sheria fani ya uongo uongo..
Kesi moja akikutetea wakili X unaenda jela..
Lakini kesi hiyo hiyo akikutetea wakili Y unatoboa..
Kwamba wakili Y alielewa zaidi darasani.