Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Pumbavu takataka wewe! Wewe ndiye unapanga leo mle nini? Utakuwa umeoa kilaza mwenzio! Wanasheria wangapi vilaza tunao huku mtaani? Hopeless kabisa wewe!
 
Nakubaliana na wewe ndo maana nikamwambia huyo bint rufaa ni haki ya mlalamikiwa au mlalamikaji.
 
Mawakili wengi wa serikali ni Zero, wanachoweza ni kusababisha kesi zichelewe.
 
Huyu dereva wa Lori amesababisha vifo vya watu 25 na majeruhi 22!!
Kesi yake atahudumiwa kifo hadi kunyongwa?

Je kesi yake Ina dhamana?

Nimeuliza tu!
 
Attachments

  • download.jpg
    134.1 KB · Views: 6
We jamaa mbona hueleweki?

Unasema mjane ni sahihi kuachwa huru kisa hakuna ushahidi usioacha shaka.

Mara hiyo hiyo unasema haki ipo kwa mungu, ambaye huwezi kumthibitisha kwa ushahidi hata wenye shaka.

Na nyie ndiyo tunawategemea mtoa haki eti.
 
Kwa mwandiko huu, usingeweza kunielewa.

Nimezungumza yaliyo taaluma yangu.

Siyo rahisi uelewe kwa upeo wako huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…