Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Bro genye zinakusumbua ukizitoa tu, utamuona takataka.
Niamini mm
 
Bora sensa iishe tu
 
USISEME HUKUAMBIWA.

hakuna jipya chin ya dunia, huo ujinga unafanya hata sisi tulishaufanya kitambo na ukatugharimu, the same for you, jiandae kisaikolojia.

Hiko hivi, jinsi unavyojizoeza kuitizama hiyo sura na muonekano wa hao madem zako, ndvyo taswira zao zinajijenga akilin mwako na kuifanya akili ikubali wao ni sehem ya maisha na kuunda bond ambayo itakuja kukugharimu.

Ubaya unakuja siku mtakapoachana ama ukafanyiwa visa, nahakika hutokuwa sawa zaid ya kujiliza na kuja humu kufungua uzi wa kuomba ushauri..

Toa uo upumbavu and be a man, at least angekuwa mkeo basi una hakika ya kumuweka popote, jipange
 
Acha uboya wewe, wanaume wanaojielewa huwa hawaweki hata siku moja picha za demu kwenye homescreen za simu zao wala profile pics za account zao kwenye social media
Ongeza sautii kidogooo at least angekuwa mke napo mara chache sanaaa...!!
 
Penzi jipya linakuaga na mbwembwe za kila aina. Wewe fanya kile moyo wako unakutuma yaan ukitaka hata kubandika picha yake usoni kwako ni sawa tu.
 
Nadhan afanye kile moyo wake unamtuma ndio raha ya mapenzi, mambo yakivurugika pia atafanya moyo wake vile utamtuma [emoji23][emoji23]
 
Soka La Juu Sana.
 
Nadhan afanye kile moyo wake unamtuma ndio raha ya mapenzi, mambo yakivurugika pia atafanya moyo wake vile utamtuma [emoji23][emoji23]
Ila Hii pisi Ikiniacha, itaniumiza Kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…