khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
[emoji1787][emoji1787] oya...fanya kuamka brotherHuyu Binti Tayari Amekubali Tufunge Ndoa Ila Sina Mpunga Papatu Papatu. Amesema ananiskilizia. 🥱🥱🥱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] oya...fanya kuamka brotherHuyu Binti Tayari Amekubali Tufunge Ndoa Ila Sina Mpunga Papatu Papatu. Amesema ananiskilizia. 🥱🥱🥱
Kwanini Mkuu[emoji1787][emoji1787] oya...fanya kuamka brother
Bro genye zinakusumbua ukizitoa tu, utamuona takataka.Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.
Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.
Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??
Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nikikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.
Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi..?
Hii Pisi Kuna Kipindi inashida Nashindwa Kumsaidia Kiasi Kidogo Cha fedha, Lakini Bado anakomaa na mm ananicheki Ananiuliza Mbona Kimya Sana. Usikae Kimya Baby Sana Nakupenda, Lakini Maisha yangu ya Papatu Papatu Bado. Hata kama Sina Hela Nisikae Kimya Hua ananikumbuka Mno.
Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu.
"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,
Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,
Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."
Nampenda huyu Binti.
Nawasilisha
Dah Inawezekana MkuuBro genye zinakusumbua ukizitoa tu, utamuona takataka.
Niamini mm
Bora sensa iishe tuWajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.
Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.
Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??
Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nikikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.
Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi..?
Hii Pisi Kuna Kipindi inashida Nashindwa Kumsaidia Kiasi Kidogo Cha fedha, Lakini Bado anakomaa na mm ananicheki Ananiuliza Mbona Kimya Sana. Usikae Kimya Baby Sana Nakupenda, Lakini Maisha yangu ya Papatu Papatu Bado. Hata kama Sina Hela Nisikae Kimya Hua ananikumbuka Mno.
Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu.
"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,
Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,
Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."
Nampenda huyu Binti.
Nawasilisha
Mambo ya homescreen/lockscreen wallpaper pictures ni levo za awali sana kwenye game...muda ukishafika utafaham hili. U need time.[emoji1787][emoji1787] oya...fanya kuamka brother
Ongeza sautii kidogooo at least angekuwa mke napo mara chache sanaaa...!!Acha uboya wewe, wanaume wanaojielewa huwa hawaweki hata siku moja picha za demu kwenye homescreen za simu zao wala profile pics za account zao kwenye social media
[emoji2][emoji2]Ongeza sautii kidogooo at least angekuwa mke napo mara chache sanaaa...!!
Nadhan afanye kile moyo wake unamtuma ndio raha ya mapenzi, mambo yakivurugika pia atafanya moyo wake vile utamtuma [emoji23][emoji23]USISEME HUKUAMBIWA.
hakuna jipya chin ya dunia, huo ujinga unafanya hata sisi tulishaufanya kitambo na ukatugharimu, the same for you, jiandae kisaikolojia.
Hiko hivi, jinsi unavyojizoeza kuitizama hiyo sura na muonekano wa hao madem zako, ndvyo taswira zao zinajijenga akilin mwako na kuifanya akili ikubali wao ni sehem ya maisha na kuunda bond ambayo itakuja kukugharimu.
Ubaya unakuja siku mtakapoachana ama ukafanyiwa visa, nahakika hutokuwa sawa zaid ya kujiliza na kuja humu kufungua uzi wa kuomba ushauri..
Toa uo upumbavu and be a man, at least angekuwa mkeo basi una hakika ya kumuweka popote, jipange
Bora sensa iishe tuitakua Agosti 23.
InshAllahMambo ya homescreen/lockscreen wallpaper pictures ni levo za awali sana kwenye game...muda ukishafika utafaham hili. U need time.
Soka La Juu Sana.USISEME HUKUAMBIWA.
hakuna jipya chin ya dunia, huo ujinga unafanya hata sisi tulishaufanya kitambo na ukatugharimu, the same for you, jiandae kisaikolojia.
Hiko hivi, jinsi unavyojizoeza kuitizama hiyo sura na muonekano wa hao madem zako, ndvyo taswira zao zinajijenga akilin mwako na kuifanya akili ikubali wao ni sehem ya maisha na kuunda bond ambayo itakuja kukugharimu.
Ubaya unakuja siku mtakapoachana ama ukafanyiwa visa, nahakika hutokuwa sawa zaid ya kujiliza na kuja humu kufungua uzi wa kuomba ushauri..
Toa uo upumbavu and be a man, at least angekuwa mkeo basi una hakika ya kumuweka popote, jipange
Pesa Kuna Muda Ipo, Kuna muda Sina Hata Mia.Pesa unayo
Pamoja MkuuOngeza sautii kidogooo at least angekuwa mke napo mara chache sanaaa...!!
Kweli Rafki yanguPenzi jipya linakuaga na mbwembwe za kila aina. Wewe fanya kile moyo wako unakutuma yaan ukitaka hata kubandika picha yake usoni kwako ni sawa tu.
Ila Hii pisi Ikiniacha, itaniumiza KinyamaNadhan afanye kile moyo wake unamtuma ndio raha ya mapenzi, mambo yakivurugika pia atafanya moyo wake vile utamtuma [emoji23][emoji23]
Mkuu mbona ni kama vile mgeni wa haya mambo? Hoja zako za kulialia tuIla Hii pisi Ikiniacha, itaniumiza Kinyama