Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

IMG_20211121_170339.jpg

Mitaani ni full maendeleo
 
Yan ifakara ulinganishage na ubaruku hko au ilembula hiyo miji unayo linganisha imewapiga gap mno kimaendeleo hata serikali hawakuwa wajinga kuweka tren ili mje mfanye shopping mji wa makambako mkoa wa njombe waliangalia vitu vingi kwanini msiende morogoro au hapo ifakara ko happy unafananisha mlima na kichuguu
 
Ifakara kuna uwanja mkubwa tu wa mpira unaitwa TAIFA.mali ya CCM.
Ifakara kuna uwanja wa ndege.ifakara kuna mengi tatizo wanaoenda kule kama viongozi huona kama wamepelekwa wasipopapenda.wanaishia kukaa tu bila kuwa na maadhimio ya kuijenga zaidi.
 
Sawa lakini hoja ni kweli Ifakara ni mji mkubwa kuuzidi mji "Njombe Municipal" wa Njombe mahali ambapo ni makao makuu ya mkoa,wilaya ya Njombe,mahali ambako ni makao makuu ya KKKT Dayosis ya kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma, Mtwara,Lindi,mahali ambako ni makao makuu ya Jimbo katoliki la Njombe,Makao makuu ya Anglican Church upande mkoa wa Njombe.Mahali ambako makao makuu ya kambpuni kubwa ya miwati Tanzania ( Tanganyika Wattle Company Limited) Nadhani bado hujaifahamu Njombe🌝🌝🌝
 
Wapi hakuna uwanja? Unanifahamu timu ya Njombe Mji na wale wanaoitwa watoto wa baba paroko?
 
Sawa lakini hoja ni kweli Ifakara ni mji mkubwa kuuzidi mji "Njombe Municipal" wa Njombe mahali ambapo ni makao makuu ya mkoa,wilaya ya Njombe,mahali ambako ni makao makuu ya KKKT Dayosis ya kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma, Mtwara,Lindi,mahali ambako ni makao makuu ya Jimbo katoliki la Njombe,Makao makuu ya Anglican Church upande mkoa wa Njombe.Mahali ambako makao makuu ya kambpuni kubwa ya miwati Tanzania ( Tanganyika Wattle Company Limited) Nadhani bado hujaifahamu Njombe🌝🌝🌝
Du! Kweli raha jipe mwenyewe njombe lini imekuwa munispal council hivi ukiwa kwenye proposal tayari inajipa hadhi maana hata kibaha wako kwenye proposal tangu 2017
 
Hivi kweli mtu anakaa kukaa chini na kufananisha Njombe na Ifakara! Doh safari bado ni ndefu
 
Makambako haiundi wilaya ya njombe inawilaya yake inaitwa ludewa ila inaunda mkoa wa njombe wilaya ya njombe inaundwa na njombe mji na njombe vijijini
Yan jamaa Kama hujui tulia tukueleweshe ambao tuko eneo husika wilaya ya njombe Ina wakurugenzi watatu Kuna wa mji njombe ,wa mji makambako na wawilaya na hizi ndizo zinazo unda makao makuu ya mkoa wa njombe na ludewa inajitegemea haina mji ile ko Ina onekana hata njombe hujawai fika huwezi sema makambako ipo ludewa hata kijiografia Ni tofauti mno
 
Back
Top Bottom