Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where is your strong defence/pointWeak defence
Sawa lakini hoja ni kweli Ifakara ni mji mkubwa kuuzidi mji "Njombe Municipal" wa Njombe mahali ambapo ni makao makuu ya mkoa,wilaya ya Njombe,mahali ambako ni makao makuu ya KKKT Dayosis ya kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma, Mtwara,Lindi,mahali ambako ni makao makuu ya Jimbo katoliki la Njombe,Makao makuu ya Anglican Church upande mkoa wa Njombe.Mahali ambako makao makuu ya kambpuni kubwa ya miwati Tanzania ( Tanganyika Wattle Company Limited) Nadhani bado hujaifahamu Njombe🌝🌝🌝Ifakara kuna uwanja mkubwa tu wa mpira unaitwa TAIFA.mali ya CCM.
Ifakara kuna uwanja wa ndege.ifakara kuna mengi tatizo wanaoenda kule kama viongozi huona kama wamepelekwa wasipopapenda.wanaishia kukaa tu bila kuwa na maadhimio ya kuijenga zaidi.
Wapi hakuna uwanja? Unanifahamu timu ya Njombe Mji na wale wanaoitwa watoto wa baba paroko?Ifakara kuna uwanja mkubwa tu wa mpira unaitwa TAIFA.mali ya CCM.
Ifakara kuna uwanja wa ndege.ifakara kuna mengi tatizo wanaoenda kule kama viongozi huona kama wamepelekwa wasipopapenda.wanaishia kukaa tu bila kuwa na maadhimio ya kuijenga zaidi.
Hamia huko Vijijini mkuu ukafaidi huo uzuri.Ifakara, Namawala, Kisegese, Mbingu, Mngeta, Kotako, Chita, Chisano, Uchindile, Masagati, Mlimba ni maeneo mazuri sana, sema yamesahulika sana kimaendeleo
Far away better kuliko huko uswekeni, Mama mpaka leo hajakanyaga huko uswekeni kwenu.Hamia huko Vijijini mkuu ukafaidi huo uzuri.
Uswekeni kama uswekeniFar away better kuliko huko uswekeni, Mama mpaka leo hajakanyaga huko uswekeni kwenu.
Du! Kweli raha jipe mwenyewe njombe lini imekuwa munispal council hivi ukiwa kwenye proposal tayari inajipa hadhi maana hata kibaha wako kwenye proposal tangu 2017Sawa lakini hoja ni kweli Ifakara ni mji mkubwa kuuzidi mji "Njombe Municipal" wa Njombe mahali ambapo ni makao makuu ya mkoa,wilaya ya Njombe,mahali ambako ni makao makuu ya KKKT Dayosis ya kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma, Mtwara,Lindi,mahali ambako ni makao makuu ya Jimbo katoliki la Njombe,Makao makuu ya Anglican Church upande mkoa wa Njombe.Mahali ambako makao makuu ya kambpuni kubwa ya miwati Tanzania ( Tanganyika Wattle Company Limited) Nadhani bado hujaifahamu Njombe🌝🌝🌝
Makambako haiundi wilaya ya njombe inawilaya yake inaitwa ludewa ila inaunda mkoa wa njombe wilaya ya njombe inaundwa na njombe mji na njombe vijijiniView attachment 2022566
Ni moja ya halmshauri za mji zonazounda wilaya njombe ambayo ndo makao makuu ya mkoa wa njombe maana wengi huwa hajui Hilo
Yan jamaa Kama hujui tulia tukueleweshe ambao tuko eneo husika wilaya ya njombe Ina wakurugenzi watatu Kuna wa mji njombe ,wa mji makambako na wawilaya na hizi ndizo zinazo unda makao makuu ya mkoa wa njombe na ludewa inajitegemea haina mji ile ko Ina onekana hata njombe hujawai fika huwezi sema makambako ipo ludewa hata kijiografia Ni tofauti mnoMakambako haiundi wilaya ya njombe inawilaya yake inaitwa ludewa ila inaunda mkoa wa njombe wilaya ya njombe inaundwa na njombe mji na njombe vijijini