Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Ulikuwa mwanza maeneo GANI mkuu?,,usikute ulikuwa unakaa ukerewe,taja ulipokuwa unakaa

Mimi nimekaa Bugando

Kiufupi huo mkoa umezubaa Sana na sijui vigezo gani vilitumika kusema ni jiji sehemu ambayo Biashara zinafungwa saa tatu usiku usafiri shida n.k
 
Ndio maana bukoba ni mji wa kimaskini na umejaa mabanda kwa sababu wenyeji wa huko mna akili za matope kama hiv
 
Mimi nimekaa Bugando

Kiufupi huo mkoa umezubaa Sana na sijui vigezo gani vilitumika kusema ni jiji sehemu ambayo Biashara zinafungwa saa tatu usiku usafiri shida n.k
Labda mwaka 2005 ndio mwanza unayosemea
Kwanza mwanza ya kulinganisha na bukoba ya Leo ni mwaka 1992
 
Labda mwaka 2005 ndio mwanza unayosemea
Kwanza mwanza ya kulinganisha na bukoba ya Leo ni mwaka 1992

Angalia usafiri

Angalia maduka yanafungwa saangapi

Angalia GDP

Mwanza ni mkoa masikini ukifatiwa na Bukoba

Kule mwanza kupata elfu kumi sio jambo jepesi mzunguko wa hela hamna.

Kazi hamna

Wananchi wengi wanategemea uvuvi na boda boda we acha tu
 
Jiajir wewe acha kutegemea kuajirowa

Ajira kwa sasa hakuna mzee

Tatizo la ajira ni tatizo la kitaifa, vinginevyo nenda kwenye hiyo mikoa unayoamin kuwa na fursa za ajira
 
Kila sehemu ni nguvu kiufupi Mwanza imeuliwa , naongea hili kwa sababu nimekaa miaka ya 2018 mpaka 2020 , nimecheza sana seminars .

Pia, Mwanza usafiri wa ndege una nguvu sana, kuna abiria wengi kuzidi hata Arusha hapo kwa watu ndani sio wataliii ...Mwanza ni mji unatakiwa kuwa na muingiliano mkubwa sana , kitu ambacho kwa sasa sio rahisi .
 
Huo mji tangia zamani hauna maendeleo ya kiuchumi

Nyie watumishi ni ngumu Sana kuelewa mambo ya Economic na purchasing power Ila wafanya Biashara wao wanajua.
 
Mimi nimekaa Bugando

Kiufupi huo mkoa umezubaa Sana na sijui vigezo gani vilitumika kusema ni jiji sehemu ambayo Biashara zinafungwa saa tatu usiku usafiri shida n.k
Ilikuwa mwaka gani huo mkuu?,maana hayo unayoongea saivi hayapo
 
Angalia usafiri

Angalia maduka yanafungwa saangapi

Angalia GDP

Mwanza ni mkoa masikini ukifatiwa na Bukoba

Kule mwanza kupata elfu kumi sio jambo jepesi mzunguko wa hela hamna.

Kazi hamna

Wananchi wengi wanategemea uvuvi na boda boda we acha tu
Leta figure sio maneno matupu
 
Kwa hyo lengo lako unataka battle au .hoja Yako umesema Mwanza sa hv hamna semina nimekuletea semina unaanza kuleta habari za Arusha..sasa Mwanza tu hatuna international center lakin mikutano kama yote tukijenga je si ndio Kuna vijiji vitatia huruma
Wewe hujui unachotaka sio , nimekuambia kwa sasa haipewi kipaumbele hata seminars hazipo zimehamia Arusha ....Ni suala la muda ..Ule upepo kama jiji la pili umekata , ni wapi nimekuambia kuna battle?

Kuna barua 5 hapa ofisini , seminars zote ni Arusha kitu ambacho sio kawaida miaka ya nyuma , ingekuwa 3 au 4 ni Mwanza na Moro...Kiufupi srikali hii sio nzuri kwa upande wa jiji la Mwanza.
 
Labda uanze kupasua kokoto jiji gani hilo watu wanaishi juu ya mawe
 
U
Angalia usafiri

Angalia maduka yanafungwa saangapi

Angalia GDP

Mwanza ni mkoa masikini ukifatiwa na Bukoba

Kule mwanza kupata elfu kumi sio jambo jepesi mzunguko wa hela hamna.

Kazi hamna

Wananchi wengi wanategemea uvuvi na boda boda we acha tu
Ungekuwa una thibitisha unacho kiongea Kwa data ingekuwa powa sana Kwa sisi wapitiaji
 
Unataka kusema mwanza ya sasa hv imepoa kuliko ya mwaka 2018 ..
Kuna watu wengine ni factless kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…