Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Mwanza bwana......labda uwe machinga tu
 
Ila arusha kumekucha na dodoma so ni rahisi ofisi mpya kuanzishwa..na hata arusha yenyewe ilikuwa chali muda mrefu sana ni miaka hii mitatu
Sema Moja kwa Moja

Paul makonda ameamsha Kila kitu
 
Wew mhaya ...kwenu bukoba ndio Kuna mzunguko mkubwa
Bukoba maisha magumu Sana

Chakula utapata na pakulala Ila kuwa na maisha makubwa kule Bukoba na mwanza ngumu

Maana Kazi ziizopo ni Kuvua samaki na kuendesha boda boda

Uchumi unategemea boda boda na kuuza samaki tu .
 
Lini mwanza iliwahi kuwa juu ya Arusha kwenye suala la mikutano ..mbona hii inajulikana toka zamani kuwa conference nyingi zinafanyika Arusha, nyingine dar na nyingine Mwanza..Mimi nimepinga hoja ya kusema mwanza sa hv hamna semina .kitu ambacho ni uongo
 
Kipind cha corona Arusha ilikuwa hoi kabisa , watu waliuza hotels zao ....Sasa najua kuna Makonda kule ndio analeta vibes.
 
Watu wa mwanza ovyo sana, maduka wanafunga saa 12 mji mzima, maduka wanafungua saa 2 asubuhi...
Hiyo Zanzibar mkuu ukienda Zanzibar ikifika saa 4 maduka yote yamefungwq ata ukitaka panado hakuna sehemu utakayo pata, yani ata sehemu zao za starehe mfano Bar zipo sehemu moja kama Soko, yani wanywaji wa mji wote mnakutana sehemu moja kama Giuliani au mpo uwanja wa mpira.
 
Kipind cha corona Arusha ilikuwa hoi kabisa , watu waliuza hotels zao ....Sasa najua kuna Makonda kule ndio analeta vibes.
Mwanza hatuna international center lakin hatupoi
 
ona hili jehu
 
Mkuu unaposema Mwanza utakuta mzee anatembeza bguo za mitumba basi anaweza kua Siyo kwao uko Mwanza Ameenda kujitafuta. Mfano kwa Mzaliwa wa Dar kumkuta anatembeza Nguo za mtumba ni vigimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…