Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.