Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ni kweli kabisa, mikoani bei inaanzia 22k kwa mfuko! Dar eti 14500 na nafikri kuna wake wa jumla unaweza kupata pungufu ya hapo! Mchanga nao si ajabu unaweza kuupata hapo hapo site! Nisijue kwenye kokoto na mawe!Ajabu na wa Dar wanaona wanaoishi nje ya huo mji nao wana ujenzi rahisi,kuna kipindi jamaa yangu Kagera aliniambia ananunua cement hii inayouzwa Dar 14,500/= kule ananunua 28,000/=.