Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Kwangu hakuna kreti wala mizinga ya ulabu
Sisi tunakuja si lazima pombe andaa Maombi,,Jumuiya au Dua,,Sisi unaotuona baa ndio Sisi wa kwenye hayo madhehebu na shughuli Mbalimbali za kiuchumi hapa nchini na Nje ya Nchi,,,Pombe mpira si kwa ajili ya mbuzi,,au Ng'ombe n.k
 
Sawa Mkuu, nyie endeleeni sisi wengine tutatumia ata juice tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napata malalamiko sana
Kina nani hao, wanakulalamikiaa dogo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipiga mahesabu ya haraka, ukinunua beer ukatulia nyumbani au whiskey unatumia gharama ndogo sana.

Bar lazima ukutane na marafiki ndipo inaanza ile "nipe moja kwa yulee.."

Unakuja kutoka unagundua pesa uliyotumia ungenunua carton za kutosha ukaweka nyumbani ukanywa hata mwezi mzima.

Kile kisingizio bar tunapata connection sio bongo.
Ni makelele tu ya amapiano. Ujinga tu.
Kabisa mkuu, katika vitu sipendi ni kunywa mvinyo nikiwa bar zaidi ya nyumbani
 
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.

Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.

Inasikitisha kwakweli.......

Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣.
 
Unakaa bar mara mtu kulewa huko unakula chupa ya kichwa kesho unaamkia hospital, bar nyingi usalama ni mdogo pia watu wengi wana shida za akili ndio wanaenda kula mitungi hapo.
Very true mkuu, ulichozungumza ndicho kitu huwa naepuka.
Bar fights sio kabisa, ugomvi unaweza kuwa baina ya watu ambao huwafahamu ukajikuta na wewe from no where umeingia kwenye ugomvi.
 
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.

Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.

Inasikitisha kwakweli.......

Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Ndiyo maana ukikutana na mtu wa Dar ukaongea na issue za kiuchumi au hata kisiasa na kijamii unakuwa kama unaongea na mtoto wa Primary
 
Wengi tu siwataji kwa majina ila wanasemq mna tabia chafu yaani hiyo midomo yenu hapana ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogooo hao walalamikajiii wapotezeeee, hawana jipyaaaa
Em wapuuze bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom