Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Dar ina watu
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.

Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.

Inasikitisha kwakweli.......

Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.

Na huo ndyo mtindo wa maisha ya vijana wengi hapa town
Dar ina watu wengi sana sio kila mtu anapenda hiyo starehe sio wanaume wote wengine hata kwenda bar tu hawapendi.
 
Mkuu Kuna kunywa na Kuna kulewa........
Kama unakunywa for recreational purpose Tena weekend au baada ya kazi Tena kwa kipimo huzidishi kipimo na unajar familia na huibi Wala kumkwaza au kugombana na MTU
Mimi huwashangaa waislamu baadhi wanavuta masigara alaf wanaona mtu anae kunywa pombe kapotea..
Umeharibu hapo tu kuingiza udini,tena umewajumuisha waislamu wote!

Wapo baadhi ya waislamu pia wanakunywa pombe,uislamu sio kua na jina tu kukufanya uwe muislamu,

Uislamu ni imani,pamoja na matendo yako,ukiwa huna hayo,unakua umejitoa kwenye dini.
 
Umeandika madini Sanaaa na wala haujawa biased
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna miamba reknown yaani G.O.A.T:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

Au nasema uongo ndugu Stroke goat katika ubora wetu?
 
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.

Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.

Inasikitisha kwakweli.......

Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Tafuta hela, pia tenga muda wa kutumia sehemu ya pesa yako.
 
Si kweli, niko deep sea navua samaki na boti yangu, Kwa mbali nimeona sailing boats kama tatu zimepita hapa moja yanne jamaa wananiambia wanakwenda Mombasa weekend japo ni wamanga, wote wamenipita mida ya saa mbili asubuhi, leo sina hobie ya kusafiri mbali nipo toka jana usiku maeneo ya deep sea usawa wa Bagamoyo.

Unafikiri mtu aliyefanya kazi kwa bidii 5xdays, weekend afanye nini zaidi ya kukutana na marafiki na kunywa bia?, Kwa wale wenye uwezo watasafiri na wengine baharini, vijana wengine wanakwenda mikoa ya karibu na macoaster kupiga game, wapo jamaa zangu ni marider jana jioni bike zimeelekea Arusha, Jpili wanageuka.
Kila mtu yupo huru kuchagua anachokipenda.
 
Back
Top Bottom