Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Hongera sanaa, kazanaweekend kama hii ni kubanjuana tu, tena mwendo wa 3some..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sanaa, kazanaweekend kama hii ni kubanjuana tu, tena mwendo wa 3some..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu acha kabusa...Sisi ndio wale tunatembea huku tumedindisha mzee..😂😂😂
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Dar ina watu wengi sana sio kila mtu anapenda hiyo starehe sio wanaume wote wengine hata kwenda bar tu hawapendi.Na huo ndyo mtindo wa maisha ya vijana wengi hapa town
Umeharibu hapo tu kuingiza udini,tena umewajumuisha waislamu wote!Mkuu Kuna kunywa na Kuna kulewa........
Kama unakunywa for recreational purpose Tena weekend au baada ya kazi Tena kwa kipimo huzidishi kipimo na unajar familia na huibi Wala kumkwaza au kugombana na MTU
Mimi huwashangaa waislamu baadhi wanavuta masigara alaf wanaona mtu anae kunywa pombe kapotea..
Ni hatari sana hiyo kwa magonjwa ya moyo na strokeHiiiiiiii bia hunywi, mke huna, mpira hautaki weekend kwa mama, we jamaa vipi!!!!
Umeandika madini Sanaaa na wala haujawa biasedUmeharibu hapo tu kuingiza udini,tena umewajumuisha waislamu wote!
Wapo baadhi ya waislamu pia wanakunywa pombe,uislamu sio kua na jina tu kukufanya uwe muislamu,
Uislamu ni imani,pamoja na matendo yako,ukiwa huna hayo,unakua umejitoa kwenye dini.
Dar wengi wanapenda kwenda bar/club na hilo lipo waziDar ina watu
Dar ina watu wengi sana sio kila mtu anapenda hiyo starehe sio wanaume wote wengine hata kwenda bar tu hawapendi.
Kwamba watu ambao hawanywi pombe watapata stroke?Ni hatari sana hiyo kwa magonjwa ya moyo na stroke
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tofauti ya Tanzania na kwingine Iko hapa:
View attachment 3077937
Bila kujitathmini kwa kina, Kwa hakika tungali bado sana.
Kabisa sio nzuri kwa afya ya akiliNi hatari sana hiyo kwa magonjwa ya moyo na stroke
bomba linakuja kaa tayariWanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta hela, pia tenga muda wa kutumia sehemu ya pesa yako.Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Natumia hela zangu kwa mambo ya halali, sio kukesha barTafuta hela, pia tenga muda wa kutumia sehemu ya pesa yako.
Kwani anayetumia hela zake bar siyo jambo halali??Natumia hela zangu kwa mambo ya halali, sio kukesha bar
Sijui, labda tuwaulize hao wanaokesha barKwani anayetumia hela zake bar siyo jambo halali??
Wewe uliyesema uhalali wa pesa ndiyo ujibu.Sijui, labda tuwaulize hao wanaokesha bar