Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Mimi sipo perfect, Nina mapungufu na makosa yangu lakini sio ya kunywa pombe.

Ndyomaana nimesema ukiwa haufanyi hayo mambo jamii inakuona kama hujakamilika au una matatizo.
Na ukifanya hayo pia kuna watu watakuona una matatizo, kama hivi wewe unavoona wanaotoka, kunywa kushangilia mpira wana matatizo.....
 
Jiheshimu wewe...
Acha makelele yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nakuambia ukweli, kua makini na mashangazii tena hao wako koko ndo kabisaa.
Usiseme hukuambiwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka ya zamani,mtu abayekunywa Pombe,alionekana ni kama mtu aliyepotea,asiye na heshima kwenye jamii,
Ila miaka hii imekua ni opposite.
 
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.

Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.

Inasikitisha kwakweli.......

Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Dar es salaam ya wap iyo,!?
 
NYIE WANAWAKE WA MIKOANI MNA USHAMBA MWINGI. YAANI KWA KUWA YOU BOYFRIEND KAKWAMBIA HIVYO NDO IMEKUWA KWA WANAUME WOTE??????????????????
 
Sijasema wana matatizo, nimesema tabia zao zinasikitisha kwakweli
Acha watu waishi maisha yao, ilimradi hawavunji sheria, watu wanapitia mengi....acha wainjoi, waipe miili pole, wachangamshe akili.

We endelea zako kukaa ndani kwa raha zako, huku ukinywa mirinda nyeusi, pembeni kuna biblia na tenzi za rohoni.
 
Wikend kama hii unachagua baa classic mziki mzuri ,Nyama choma safi bila kusahau wahudumu warembo hapo ni bia na kupepesa macho mrembo gani anafaa kwa kubonywa atayebisha huyo Bado mishe izija kaa poa lakini pia kama wewe unajiona umejipata kuna baa ukikaa utaongeza juhudi ya kutafuta hela Sasa umejifungia geto unakula ugali wako na dagaa mchele una kibubu Kila siku unatumbukiza tu buku mbili mbili halafu umeridhika mwenyewe.
 
Acha watu waishi maisha yao, ilimradi hawavunji sheria, watu wanapitia mengi....acha wainjoi, waipe miili pole, wachangamshe akili.

We endelea zako kukaa ndani kwa raha zako, huku ukinywa mirinda nyeusi, pembeni kuna biblia na tenzi za rohoni.
Mbona sijawapangia watu maisha Madam, nimesema tu tabia zao zinasikitisha kwakweli
 
Miaka ya zamani,mtu abayekunywa Pombe,alionekana ni kama mtu aliyepotea,asiye na heshima kwenye jamii,
Ila miaka hii imekua ni opposite.
Mkuu Kuna kunywa na Kuna kulewa........
Kama unakunywa for recreational purpose Tena weekend au baada ya kazi Tena kwa kipimo huzidishi kipimo na unajar familia na huibi Wala kumkwaza au kugombana na MTU
Mimi huwashangaa waislamu baadhi wanavuta masigara alaf wanaona mtu anae kunywa pombe kapotea..
 
Sasa umejifungia geto unakula ugali wako na dagaa mchele una kibubu Kila siku unatumbukiza tu buku mbili mbili halafu umeridhika mwenyewe.
Yapo maeneo naweza kupata inspiration lakini sio baa, yaani walevi ndyo wanipe motivation ya Maisha??? Hilo hapana aisee
 
Back
Top Bottom