Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Astakafillah astakafillah astakafillah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aaaaah punguza sasa...

Naona leo unaamua kunionesha how you are.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚5some hapana kea kweli si ushaitwani huo
😁😁 unafikiri wanini takwimu zinaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume ? mambo kama haya sasa jipendelee kwa raha zako
 
Weeeh acha bana mbona kama unataka nianze kukemea hilo pepo alaaaah.

Kuna na heshima bana sitaki kuamini wewe ni jamaa wa hovyo
😁😁 unafikiri kwanini kuna imani moja inasema kule mahala tunapewa 72 wa kuchakata na kupewa nguvu za kuwala 100.. nyie tu jinyime raha kukimbia 3some, 4some na 5some maana hizi ndio zipo kiafya
 
😁😁 unafikiri kwanini kuna imani moja inasema kule mahala tunapewa 72 wa kuchakata na kupewa nguvu za kuwala 100.. nyie tu jinyime raha kukimbia 3some, 4some na 5some maana hizi ndio zipo kiafya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna watu huko juu hakutokua hata na ile kujiuliza.
Ni moja kwa moja mnatupwa kwa shimo .....

Laana hizo mkuu alafu naona kama unataka kunishawishi niingie katika huo ushetani..

Mungu aniepushe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
standard ya hiyo pepo ni pisi 72.. na standard ya huko ni bora zaidi.. shuka chini hata 3some.. usiogope sio ushetani.. hiki ni kiwango cha hiyo pepo.. hamna hamna ni 3some.. πŸ˜‚πŸ˜‚ mie hapa navizia 3some japo sina maana na sina hela
 
Pepo wewe....πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hapana huwezi nishawishi hivo me
 
Mmh samahani lakini sina maana mbaya, ila watu wa dizaini zako mnakuaga "wanafiki sana" yani mnajikutaga mpo perfect, mna maisha flani kiasi kwamba yani kumuona mtu anatandika kilaji unamuona ana dhaaaambi mmh πŸ‘Ž
Mimi sipo perfect, Nina mapungufu na makosa yangu lakini sio ya kunywa pombe.

Ndyomaana nimesema ukiwa haufanyi hayo mambo jamii inakuona kama hujakamilika au una matatizo.
 
Back
Top Bottom