Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Na huo ndyo mtindo wa maisha ya vijana wengi hapa townJumamosi kama hii unagonga zako breakfast heavy home, mchana unagonga ugali mkubwa na samaki. Unalala kidogo kubuy buy time.
Kwenye saa Tisa unaamka unaoga zako, kisha unapiga pensi, t-shirt na sendo. Unajisogeza kigrocery cha karibu na home mnapokutana washkaji wawili watatu wa mtaani. Unstoa Loki kidogo.
Kwenye saa moja moja usiku unaenda kiwanja chenye vibe kimtindo unasikiliza muziki mkubwa. Huku ukicheki cheki warembo tofauti tofauti. Unacheki gemu kama ipo mda huo. Kwenye saa nne unageuza zako home.