Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
MI NAMFAHAMU MDADA ANAJIUZA. ILA ANASEMA KULA KITIMOTO NI KHARAMU HAWEZI KULA HIYO NYAMA. ILA ANAJIUZA NA TIGO ANATOAMkuu Kuna kunywa na Kuna kulewa........
Kama unakunywa for recreational purpose Tena weekend au baada ya kazi Tena kwa kipimo huzidishi kipimo na unajar familia na huibi Wala kumkwaza au kugombana na MTU
Mimi huwashangaa waislamu baadhi wanavuta masigara alaf wanaona mtu anae kunywa pombe kapotea..