Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hakika hiyo ni mikumboHuko ni kufuata mkumbo. na sio uanaume.
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Engine zinapata moto muda wote hawapoiWanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote aiseee kuna sisi wengine tumefungiwa humu ndani...Wanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillahweekend kama hii ni kubanjuana tu, tena mwendo wa 3some..
Kweli sio wote wanafanya hizo starehe, lakini wengi wao wanafanya na ukitaka kujua hilo tazama umati mkubwa wa watu katika maeneo hayo Mida ya jioniWapo pia wanaoshinda site japo ujenzi wenyewe wa kuunga unga lakini wanafanya kitu.
Siyo wote wapenzi wa hizo starehe!
Wewe hatumii kilevi?Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao.
Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na ukae kwenye viti virefu.
Inasikitisha kwakweli.......
Niwatakie weekend njema wadau wote, iwe na heri kwenu na familia zenu.
Oaaa weee pigo zako kama za Dizasta VinaJumamosi kama hii unagonga zako breakfast heavy home, mchana unagonga ugali mkubwa na samaki. Unalala kidogo kubuy buy time.
Kwenye saa Tisa unaamka unaoga zako, kisha unapiga pensi, t-shirt na sendo. Unajisogeza kigrocery cha karibu na home mnapokutana washkaji wawili watatu wa mtaani. Unstoa Loki kidogo.
Kwenye saa moja moja usiku unaenda kiwanja chenye vibe kimtindo unasikiliza muziki mkubwa. Huku ukicheki cheki warembo tofauti tofauti. Unacheki gemu kama ipo mda huo. Kwenye saa nne unageuza zako home.
Leo tulia tu upunguze uchovu wa wiki nzima, na ukijaribu kutoroka ukirudi uwe na maelezo ya kutosha kwa BibieAaaah kwa sasa sina mengi ila naskilizia ratiba za ant caraphina tuone atasemaje maana naona ana heka heka huko ndani...
Mi nasubri tuu ratiba ya leo ila sioni dalili ya kutoka hapa..
Napata shaka leo kama hakuna viporo vya kazini huko basi kuna kazi tu tafanya aiseee
ππππ Siwezi kutoka mkuu ngoja nitulie tuone anasemaje leoLeo tulia tu upunguze uchovu wa wiki nzima, na ukijaribu kutoroka ukirudi uwe na maelezo ya kutosha kwa Bibie
Wengi wanafuata mikumbo tu, wengine wanadai wanapunguza mawazo, ila mwisho wote ni waleviStarehe ni kufanya kile kinakupa furaha ndani ya nafsi yako wewe mwenyewe,
Kama kuna mtu anafanya vitu kwa kufuata mkumbo ili tu na yeye aonekane ila hiyo starehe haimpi furaha,basi mtu huyo anakua anaishi kama mtumwa tu,anaishi kwa ajili ya watu wamuone,
Live the life u love
Love the life u live.
Yaan watakufa wako chwaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Engine zinapata moto muda wote hawapoi