Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Ajabu na wa Dar wanaona wanaoishi nje ya huo mji nao wana ujenzi rahisi,kuna kipindi jamaa yangu Kagera aliniambia ananunua cement hii inayouzwa Dar 14,500/= kule ananunua 28,000/=.
Ni kweli kabisa, mikoani bei inaanzia 22k kwa mfuko! Dar eti 14500 na nafikri kuna wake wa jumla unaweza kupata pungufu ya hapo! Mchanga nao si ajabu unaweza kuupata hapo hapo site! Nisijue kwenye kokoto na mawe!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bora useme weww wikiend ni pombe na mpira huku nyuma wake zenu mnasaidiwa na houseboy na bodaboda
Mida hii tayari wajomba wamewaka, na simba ameshinda tena basi leo ni shangwe tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli kabisa, mikoani bei inaanzia 22k kwa mfuko! Dar eti 14500 na nafikri kuna wake wa jumla unaweza kupata pungufu ya hapo! Mchanga nao si ajabu unaweza kuupata hapo hapo site! Nisijue kwenye kokoto na mawe!
Kuna sehemu wanaiita Chanika Dar kule mtu akinunua kiwanja yeye hesabu atapiga za cement labda bati mbao lakini tofali mchanga vyote anavipata hapo hapo site.

Utakuta mtu anaanza ujenzi na shimo la choo (septic tank) ukimuuliza anakwambia mchanga alioutoa humo ndiyo utafyatulia tofali kujengea tofali kujengea shimo la choo alilochimba in short kila kinachohusu mchanga utatumika ule aliotoa kwenye shimo,ajabu nyumba zenyewe huwa hawazimalizi pamoja na favour hiyo.
 
Hivi sababu huwa ni nini?
 
Wanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh...ya kweli hayo?
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…