Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Isanga family wewe ni wapi huko tunasifika kwa uchapakazi?🙃Ukitaka kujua sisi watanzania ni wavivu basi nenda nchi nyingine. Watanzania tuna sifa tatu kazini: uvivu, ulalamishi na upigaji. Haya mambo yameshakuwa sehemu ya utamaduni wetu.
Mkuu hili la kusema watanzania ni wachapakazi mara nyingi ni bla bla zilizopo mitaani ukiwa Tanzania. Na linatokana na watu kukosa expusure ili wajue watu nchi nyingine wanafanyaje kazi. Hata mimi kbla sijatoa tongotongo nilikuwa nadhani nchi kama za Ulaya au hata India watu hawawezi kazi za ''maguvu'' hata kidogo. Kila kwa mfano nikiona wahindi au wazungu naona kama ni walaini na hawawezi shuruba. Kumbe nilikuwa nakosea. Isanga family yeye nadhani ana-compare zaidi na South Africa ambako nao nasikia ni wavivu kweli kweli. Nasema hivi kwa sababu amekuwa anatoa michango mingi inayoonyesha kuwa yuko familiar sana na South.Isanga family wewe ni wapi huko tunasifika kwa uchapakazi?🙃
🤭🤭Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!
😳😳Isanga family wewe ni wapi huko tunasifika kwa uchapakazi?🙃
Jamaa ana majibu mabovu tu sijaelewa na wengi hawajaelewa nilitaka anieleweshe lakini matokeo ndiyo hayo majibu ligi me ya nini mkuuWewe umeamua tu kufanya ligi na mwanzisha uzi, kimsingi alichoeleza kiko wazi na amejibu accordingly. Few sips of water can do
Au sifa yetu ni hiyo mkuu? Nakubali kurekebishwa
Hapo sawa nakuelewa!Mkuu hili la kusema watanzania ni wachapakazi mara nyingi ni bla bla zilizopo mitaani ukiwa Tanzania. Na linatokana na watu kukosa expusure ili wajue watu nchi nyingine wanafanyaje kazi. Hata mimi kbla sijatoa tongotongo nilikuwa nadhani nchi kama za Ulaya au hata India watu hawawezi kazi za ''maguvu'' hata kidogo. Kila kwa mfano nikiona wahindi au wazungu naona kama ni walaini na hawawezi shuruba. Kumbe nilikuwa nakosea. Isanga family yeye nadhani ana-compare zaidi na South Africa ambako nao nasikia ni wavivu kweli kweli. Nasema hivi kwa sababu amekuwa anatoa michango mingi inayoonyesha kuwa yuko familiar sana na South.
Hapa tunasemea majority mkuu tu wavivu balaa...Sio wote.
Ujenzi kwenye zegeMbao za kukodi
unazitumia kufanya nini
Haiwazuii kuunga line zaoDawasco wakikugundua watakuacha salama?? Mana dzain kama unawakimbizia wateja hv
Hapa nimeelewaUjenzi kwenye zege
Vijana wamebweteka sana, wanasubiri kuajiriwaLeo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Inawezekana pia fundi alikuwa sawa na alichokiona maana kama mbao zimetumika muda mrefu na zimepinda ama kupasuka zingemsumbua fundi na pengine kuharibu kazi.Naishi mbali kidogo na eneo husika, sasa hapo site kuna jamaa yangu pia amejenga akaniambia tuchukue kwake, ili kuokoa muda nikamtuma fundi akaziangalie kama zinafaa akasema hazifai kabisa
Na eti anajifanya fundi mwaminifu anasema hawezi kutumia mbao mbovu maana kazi zake yeye huwa hataki kuharibu
Basi nikawa sina namna ila kununua tu,
Hata hivyo umenipa somo, tunakoendelea bora ionekane nabishana na mtaalamu
Mkuu Hiyo inaitwa"Maskini akipata matako hulia mbwata".Ila wabongo sijui kwann tunapenda kuwaona wengine wavivu
Uko sahihi nkoi. Sio WaTZ tu, ni karibu Wafrika wote ni wavivu, hatupendi kazi, tuna visingizio sana na si waaminifu. Nimeona hii kwa nchi kadhaa za Afrika nilizofika.Mkuu unachosema ni sahihi mno! WATANZANIA NI WAVIVU