Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Sasa fund mwingne anakwambia ununue marine board zile halaf ukate..

Hapo wangekununulisha mbao za 1x10. Had ujute...unaweza shangaa umeokoa zaid ya milion.

Ingawa fund aliwai nambia wanapenda tumia marine sabab ni pana so zege halishuruziki nje na kuweka mafundo fundo..inakuaga mbaya kwenye kupiga plasta badae..

Il ni move ya kijanja sana kukodi...ndomana nasemaga..ukiwa na akil na stratergy unaweza jenga nyumba mtu akadhan ni ya mil70 kumbe ni mil50
 
HUyo hajaelezea vizuri matumizi ya hizo mbao ndo maana kuna maswali mengi,mada yake ni nzuri ila ameikoroga saana

Nataka nimweleze tu kwamba hizo mbao zinakodishwa kwa ajili ya kufunga renta,ukifikia hatua hiyo kama huwezi kununua zako unakodisha baada ya renta unarudisha kwa mwenyewe na ukipoteza ama kuharibu lazima ununua.

Nadhani nileeleweka
 
Anapiga hesabu hivi;

Mfano.

Ufundi 500K.

Hela atakayokupiga kwenye vifaa 500K.

Vifaa vitakavyobaki akauze 100K.

Kwa project ndogo.

Ukimbana hapo kwenye vifaa tu, kama alikuwa na nia ya kukuibia atakukimbia au ataanza kukukwepa kwamba kuna ishu anamalizia. Na humuoni tena.

Ila kama ile anapiga simu unatuma hela, lazima awe kila siku site.
Mafundi kiboko
 
Sasa fund mwingne anakwambia ununue marine board zile halaf ukate..

Hapo wangekununulisha mbao za 1x10. Had ujute...unaweza shangaa umeokoa zaid ya milion.

Ingawa fund aliwai nambia wanapenda tumia marine sabab ni pana so zege halishuruziki nje na kuweka mafundo fundo..inakuaga mbaya kwenye kupiga plasta badae..

Il ni move ya kijanja sana kukodi...ndomana nasemaga..ukiwa na akil na stratergy unaweza jenga nyumba mtu akadhan ni ya mil70 kumbe ni mil50
Marine board ni kweli kitu kinatokea high standard sana.
 
Oya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu ukiwasikiliza Hawa wasomi uchwara wa JF utaishi nyumba za kupanga maisha yako yote,au hutofanya biashara inayohusu sekta ya majengo
 
Mbao 20 kwa 30,000 means jamaa alikukodishia kwa shilingi 1,500/- kwa ubao.

Me kuna site ya mbali niliambiwa nikodi ubao Mmoja shilingi 3,000 na nilihitaji mbao 40 so ilinigharimu almost 120,000
Baadaye site nyingine nilimudu kununua zangu hivyo nilikodisha shilingi 2,000 kwa ubao.

Nilikodisha mara mbili baadaye nilipoona zinaanza kupoteza ubora Kutokana na kugongwa misumali mara nyingi nikaziuza kwa shilingi 7,000 kwa ubao.

Kama unahisi unaweza kuwa na shughuli nyingi za ujenzi, vyema ununue steel scaffolding tu kuliko mbao kwa zinadumu na ni rahisi kuzisafirisha
 
Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Uko sahihi hasa ukiwa maeneo yenye ujenzi kama Goba,madale, chanika, kigamboni ila sio Sinza
 
Nimekuwa kwenye sekta ya ujenzi kwa muda mrefu sana kwasababu mzee wangu yupo huko.

Nakwambia hakuna watu wabaya kama mafundi.

Fundi lazima atakuibia utake usitake na ukimbana sana anakuachia kazi yako anaondoka.

Wewe ni boss, kazi ya fundi ni kutekeleza. Ukimpa nafasi akupe ushauri kuhusu mambo ya fedha utamuachia hela nyingi sana.

Wewe sikiliza utaalamu wake, kama una make sense tekeleza tena kwa njia yako na sio njia yake.
Kweli kabisa. Bongo mafundi wameshajenga utamaduni kuwa ni lazima waibe. Waipoiba wanajiona kama hawajalipwa fedha zao.
 
Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!
Ukitaka kujua sisi watanzania ni wavivu basi nenda nchi nyingine. Kazi zinazofanywa na watu wa huko ukimpa mtanzania lazima alalamike. Watanzania tuna sifa tatu kazini: uvivu, ulalamishi na upigaji. Haya mambo yameshakuwa sehemu ya utamaduni wetu.
 
Back
Top Bottom