Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Sheria yenyewe ina mapungufu kibao ,na ndio sababu hata wao inawawia vigumu kuisimamia
Imagine wanataka uombe kibali na kulipa tozo kabla hata hujachimba kisima chenyewe,
Kwenye mambo ya visima kuna mengi, unaweza kuchimba na usipate maji, au ukapata maji yenye chumvi isiyovumilika , au ukapata maji ambayo hayatadumu
@ 3.5 mil huko ulipo ni nafuu sana sijajua uhakika wa kupata maji upoje , huku nilipo nilipo visima kama hivyo vinaenda hadi 10 mil na unaweza ukayakosa maji , na chances za kupata maji matamu ni very slim to none

Binafsi nimeshawai kuchimba kisima kwenye hostel yangu kwa milioni 5 na nusu.. na nikapata maji yana magadi mengi hayafai kwa matumizi.. hela ikawa imepotea...
 
sasa zikivunjika km 6 hivi au cement iking'ang'ania huoni ni bora ungenunua zako, maana ni lazima tena utakaa nazo miezi 6 mpaka ghorofa hilo likauke la sivyo Mhandisi hatakubali
na 30,000 ni kwa siku moja au mpaka umalize ujenzi
Ghorofa mara nyingi tunatumia marine board
 
Kuna mbao za renta 1*8 nimekodi sana wakati najenga. Mbao moja 500/= na hutakiwi kuzikata wala kupasua.
Mkodishaji anakuwa na mbao futi zote kuanzia 12,11,10,9 mpaka futi 2. Mafundi wanajua kuzitumia na hazikatwi maana vipisi vinakuwepo vya ukubwa mbalimbali.

FURSA NYINGINE NI HII: Kama kuna mtu anaweza umiza kichwa akatengeneza fremu/formwork za kuwekea zege la renta kwa kutumia square pipes na sheet zikawa zinafungwa na boriti ukiitega una adjust kulingana na vipimo vyako kisha unamwaga zege la renta likikauka unafungua unapata renta. Unakuwa unakodisha mtu akifika kwenye renta hanunui mbao anakuja kwako anakodi akifumua anarudisha vitu vyako. Watu wengi huwa hawanunui mbao za renta maana ukishapiga renta huwezi zitumia tena hivyo za kukodi ni rahisi na naafuu. Fikiria unanunua mbao 100 za 1×8 kila moja 10,000 kwa ajiri ya kupiga renta godown!
 
Binafsi nimeshawai kuchimba kisima kwenye hostel milioni 5 na nusu.. na nikapata maji yana magadi mengi hayafai kwa matumizi.. hela ikawa imepotea... yanatumika kuflash vyoo tu..
Duh...ila si huwa wanafanya kautafiti kujua maji hapo yakoje?
 
Duh...ila si huwa wanafanya kautafiti kujua maji hapo yakoje?

Utafiti unaonesha tu kama mwamba wa maji upo ama haupo.. ila quality ya maji ni bahati yako tu mchimbaji...

Kwenye report yangu ya investigation kuna sentensi wameiweka hapo (i)

Tena mimi nilichimbiwa na chuo cha maji.. chini ya wizara ya maji.. wana vifaa vyote vya kisasa ila nikakosa maji mazuri

20210608_120802.jpg
 
Tatizo la michango mingi ya jukwaa la jf huwa Lina akisi na kudhani kila mtu yuko Dar ndio maana kushauri mwingi wa humu unaweza tumiwa na watu walioko Dar kuliko mikoani
 
Utafiti unaonesha tu kama mwamba wa maji upo ama haupo.. ila quality ya maji ni bahati yako tu mchimbaji...

Kwenye report yangu ya investigation kuna sentensi wameiweka hapo (i)

Tena mimi nilichimbiwa na chuo cha maji.. chini ya wizara ya maji.. wana vifaa vyote vya kisasa ila nikakosa maji mazuri

View attachment 1812280
Si mchezo. Wanaweka wazi msije laumiana baadae.
 
Hahahaaaa hapana nilimchana tu aache kuniibia manake hela inapatikana Kwa shidaa

Akakasirika akasema namuona mwizi akaacha na kazi[emoji23][emoji23]
Kama una ujasiri huo endelea tu kuwachana, mimi ukimya wangu ndio unanigharimu
 
Kama una ujasiri huo endelea tu kuwachana, mimi ukimya wangu ndio unanigharimu

Hiyo ndiyo Changamoto yangu
Huwa sikai na karaha moyoni

Yaani ukiona nimenyamaza hapo hujanigusa(nagusika zaidi kwenye mambo ya pesa)
 
Back
Top Bottom